Askofu Rweyongeza: 2025 chagueni viongozi wanaofaa msirudie makosa ya 2020 kwani wabunge wengi walipita kwa rushwa na sasa hawana msaada kwenu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,000
142,028
Askofu Rweyongeza wa Kanisa Katoliki jimbo la Kayanga mkoani Kagera amewataka Wananchi wachague Viongozi bora na wasirudie makosa ya 2020.

Askofu Rweyongeza amesema ule wa 2020 haukuwa Uchaguzi ndio sababu sasa wanatunga sheria wasije kushtakiwa, hivyo nawashauri I wakati wa Uchaguzi msiendekeze Rushwa halafu Wabunge wakiwakimbia na Nyie mnakuja kulia Kanisani.

Si Viongozi wa dini kazi yetu ni kuusema ukweli na Nyie Wananchi kazi yenu ni Kufanya maamuzi ya pamoja kwa sababu mko Wengi, amesisitiza baba askofu.

Clip ya video iko Kwenye Ukurasa wa Hilda Newton Kule X.

Mlale Unono 😃😃🔥
 
'
7effad41602a4f35af252db51926ab86_365648859_2021985561473154_6751195228779733757_n.jpg
 
Askofu Rweyongeza wa Kanisa Katoliki jimbo la Kayanga mkoani Kagera amewataka Wananchi wachague Viongozi bora na wasirudie makosa ya 2020

Askofu Rweyongeza amesema ule wa 2020 haukuwa Uchaguzi ndio sababu sasa waInatunga sheria wasije kushtakiwa, hivyo nawashauri I wakati wa Uchaguzi msiendekeze Rushwa halafu Wabunge wakiwakimbia na Nyie mnakuja kulia Kanisani

Si Viongozi wa dini kazi yetu ni kuusema ukweli na Nyie Wananchi kazi yenu ni Kufanya maamuzi ya pamoja kwa sababu mko Wengi, amesisitiza baba askofu

Clip ya video iko Kwenye Ukurasa wa Hilda Newton Kule X

Mlale Unono 😃😃🔥
Nimetafakar kwa kina nimemuelewa vzr sana baba askofu!! Nadhan yapo mengi ambayo hata viongoz wa dini hawayapendi na yanayoendelea!!
 
Askofu Rweyongeza wa Kanisa Katoliki jimbo la Kayanga mkoani Kagera amewataka Wananchi wachague Viongozi bora na wasirudie makosa ya 2020

Askofu Rweyongeza amesema ule wa 2020 haukuwa Uchaguzi ndio sababu sasa wanatunga sheria wasije kushtakiwa, hivyo nawashauri I wakati wa Uchaguzi msiendekeze Rushwa halafu Wabunge wakiwakimbia na Nyie mnakuja kulia Kanisani

Si Viongozi wa dini kazi yetu ni kuusema ukweli na Nyie Wananchi kazi yenu ni Kufanya maamuzi ya pamoja kwa sababu mko Wengi, amesisitiza baba askofu

Clip ya video iko Kwenye Ukurasa wa Hilda Newton Kule X

Mlale Unono 😃😃🔥
Kwa tume ipi?
 
Naunga mkono hoja....wanajiongezea posho na kujilinda washishitaliwe.....wanaogopa nini?
 
Askofu Rweyongeza wa Kanisa Katoliki jimbo la Kayanga mkoani Kagera amewataka Wananchi wachague Viongozi bora na wasirudie makosa ya 2020

Askofu Rweyongeza amesema ule wa 2020 haukuwa Uchaguzi ndio sababu sasa wanatunga sheria wasije kushtakiwa, hivyo nawashauri I wakati wa Uchaguzi msiendekeze Rushwa halafu Wabunge wakiwakimbia na Nyie mnakuja kulia Kanisani

Si Viongozi wa dini kazi yetu ni kuusema ukweli na Nyie Wananchi kazi yenu ni Kufanya maamuzi ya pamoja kwa sababu mko Wengi, amesisitiza baba askofu

Clip ya video iko Kwenye Ukurasa wa Hilda Newton Kule X

Mlale Unono 😃😃🔥
Askofu leo kaimba lile pambio lao jipya bandari? Au wameanza beti nyingine ya uchaguzi?
 
Askofu Rweyongeza wa Kanisa Katoliki jimbo la Kayanga mkoani Kagera amewataka Wananchi wachague Viongozi bora na wasirudie makosa ya 2020

Askofu Rweyongeza amesema ule wa 2020 haukuwa Uchaguzi ndio sababu sasa wanatunga sheria wasije kushtakiwa, hivyo nawashauri I wakati wa Uchaguzi msiendekeze Rushwa halafu Wabunge wakiwakimbia na Nyie mnakuja kulia Kanisani

Si Viongozi wa dini kazi yetu ni kuusema ukweli na Nyie Wananchi kazi yenu ni Kufanya maamuzi ya pamoja kwa sababu mko Wengi, amesisitiza baba askofu

Clip ya video iko Kwenye Ukurasa wa Hilda Newton Kule X

Mlale Unono 😃😃🔥
Amenena vyema
 
Back
Top Bottom