Hesabu iliyomliza Abdul Nondo wa ACT Wazalendo huko Mbarali 63+40+2+1 = 70. Zamani angesingiziwa Magufuli!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,025
Abdul Nondo anasema kwenye kituo Kimoja huko Mbarali chenye Wapiga kura 70 fomu ya majumuisho iliyosainiwa na Tume ya Uchaguzi inasomeka ACT Wazalendo wamepata kura 40 na CCM wamepata kura 63 Vyama vingine kura 3

40+63+2+1=70

RIP Shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐ŸŒŸ๐Ÿ”ฅ

ACT.jpg
 
yaani upinzani nchini Tanzania huwa wanafanya mazoezi ya kuibiwa kura na kuisingizia tume ya uchaguzi kila baada na kabla ya uchaguzi ๐Ÿคฃ
 
Abdul Nondo anasema kwenye kituo Kimoja huko Mbarali chenye Wapiga kura 70 fomu ya majumuisho iliyosainiwa na Tume ya Uchaguzi inasomeka ACT Wazalendo wamepata kura 40 na CCM wamepata kura 63 Vyama vingine kura 3

40+63+2+1=70

RIP Shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐ŸŒŸ๐Ÿ”ฅ
Halafu mtu alete ngonjera ya katiba Mpya
 
Mungu ana miyujiza, shetani naye ana miyujiza yake,hiyo nayo ni miyujiza ya CCM, ifike mahali wasimamizi wa uchaguzi wasiwe waajiriwa wa serekali, wawe ni wale waajiriwa wa muda kutoka mitaani kwa ajili ya kusimamia uchaguzi.

Waajiriwa wa serekari jukumu lao mojawapo ni kuhakikisha CCM inashinda kwa hali yoyote,na akifikria kibarua chake kuota nyasi ni lazima afanye hivyo ili maisha yaendelee.
 
Abdul Nondo anasema kwenye kituo Kimoja huko Mbarali chenye Wapiga kura 70 fomu ya majumuisho iliyosainiwa na Tume ya Uchaguzi inasomeka ACT Wazalendo wamepata kura 40 na CCM wamepata kura 63 Vyama vingine kura 3

40+63+2+1=70

RIP Shujaa Magufuli ulisingiziwa mengi ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐ŸŒŸ๐Ÿ”ฅ
Hesabu ziko sawa ile ilikuw 4 sio 40 inawezekana kuna mtu aliongeza 0 ikiwa 40 maana 4+63+2+1= 70
 
Back
Top Bottom