Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Uhuru wa kujieleza ni Haki ya Kimsingi ya Binadamu, iliyobainishwa katika kifungu cha 19 cha Azimio la Kimataifa la Haki za Kibinadamu.
Hata hivyo, Baadhi ya Serikali na Watu binafsi katika nyadhifa za Mamlaka Duniani wanatishia uwepo wa Haki hii licha ya kwamba Uhuru wa Kujieleza hubeba aina nyingi za Uhuru wa Binadamu ikiwemo Uhuru wa Vyombo vya Habari
Ibara ya 18 (1) ya Katiba ya JMT inasema Bila ya kuathiri Sheria za Nchi, Kila Mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya Nchi, na Pia ana uhuru wa Mawasiliano yake kutoingiliwa kati.