DP World kujaribu kujenga mahusiano mema mikoa ya Nyanda za juu Kusini

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,997
8,375
Tumearifiwa wakubwa walioletwa na watawala bandarini wameanza kusambaa nchini kwa ajili ya kujenga mahusiano mema na Watanganyika.

Wao dp world wanajua kuwa watanganyika waliwakataa ila watawala waliwaleta.

Hivyo njia nzuri wameona ni kukaa karibu na Watanganyika.

Kwa kuanzia watajenga masjid kubwa Mbeya Njombe na Iringa na rukwa kabla ya kuenda mikoa mingine.

Hii ni awamu ya kwanza tutaendelea kuwajulisha.

Kwaheri TANGANYIKA karibu.
 
Tumearifiwa wakubwa walioletwa na watawala bandarini wameanza kusambaa nchini kwa ajili ya kujenga mahusiano mema na watanganyika

Wao dp world wanajua kuwa watanganyika waliwakataa ila watawala waliwaleta

Hivyo njia nzuri wameona ni kukaa karibu na watanganyika

Kwa kuanzia watajenga masjids kubwa mbeya njombe na iringa na rukwa kabla ya kuenda mikoa mingine

Hii ni awamu ya kwanza tutaendelea kuwajulisha

Kwaheri TANGANYIKA karibu....
Watanzania gani waliwakata? Watanzania walicho lalamikia ni mkataba mbovi sio watu wanao miliki DP world.
 
Tumearifiwa wakubwa walioletwa na watawala bandarini wameanza kusambaa nchini kwa ajili ya kujenga mahusiano mema na Watanganyika.

Wao dp world wanajua kuwa watanganyika waliwakataa ila watawala waliwaleta.

Hivyo njia nzuri wameona ni kukaa karibu na Watanganyika.

Kwa kuanzia watajenga masjid kubwa Mbeya Njombe na Iringa na rukwa kabla ya kuenda mikoa mingine.

Hii ni awamu ya kwanza tutaendelea kuwajulisha.

Kwaheri TANGANYIKA karibu.
Hivyo njia nzuri wameona ni kukaa karibu na Watanganyika.

Kwa kuanzia watajenga masjid kubwa Mbeya Njombe na Iringa na rukwa kabla ya kuenda mikoa mingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujaribu au wanatafuta fursa ya ku maximize uwekezaji wao?
 
Tumearifiwa wakubwa walioletwa na watawala bandarini wameanza kusambaa nchini kwa ajili ya kujenga mahusiano mema na Watanganyika.

Wao dp world wanajua kuwa watanganyika waliwakataa ila watawala waliwaleta.

Hivyo njia nzuri wameona ni kukaa karibu na Watanganyika.

Kwa kuanzia watajenga masjid kubwa Mbeya Njombe na Iringa na rukwa kabla ya kuenda mikoa mingine.

Hii ni awamu ya kwanza tutaendelea kuwajulisha.

Kwaheri TANGANYIKA karibu.
hapana shida, na sisi tutajenga makanisa makubwa kwa pesa zetu za sadaka. nchi huru hii kwa kuabudu, hakuna anayeumia moyo hapa.
 
Basi jilaumuni nyinyi wenyewe kwa kuwa wapumbavu na sio kuwapangia watu namna ya kutumia pesa zao.
Aisee umetukweza sana na kutuinua kutuita wapumbavu kwa maana hatustaili,tupo level ya chini kuliko hiyo nawe ukiwemo
 
Wapumbavu sana badala ya kujenga shule na zahanati wanajenga misikiti ya kazi gani wamesikia hii ni nchi ya wafilisti
Hizo shule na zahanati jenga wewe usiyekua mpumbavu,ndio mgawanyo wa majukumu huo,pia mleta mada hajaweka source yeyote ya habari aliyoileta ila wewe unatokwa povu kama lote bila hata kujiridhisha.
 
Back
Top Bottom