Jerry Slaa akagua daraja la Bilioni 17 jimboni kwake

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.

Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.

Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.

--

Mamlaka zatolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo, kujua zaidi soma TARURA yaelezea kuhusu Daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6

IMG_8494.jpeg
 
Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.

Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.

Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.View attachment 2786231
Dunia simama nishuke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.

Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.

Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.View attachment 2786231
Nimeangalia kule kwenye account yake,hii habari imeondolewa 😂😂😂😂

Nikiwaoneaha Daraja la Bil.1.2 mtasikotika kwanza ni kubwa na refunkuliko hili
 
Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.

Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.

Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.

View attachment 2786231
Ni milioni 17, hapo hakuna bilioni, tumepigwa tena.
 
Back
Top Bottom