Sasa nimegundua, tatizo sio uwekezaji wala Mkataba bali ni Waarabu kuwekeza

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,610
17,833
Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo.

Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi.

Wananchi walitaka maboresho ya kimktaba.

TLS ilitaka maboresho ya mkataba na ASASI zote za kiraia na zisizo za kiraia zilitaka Mabiresho ya mkataba na TEC na TAAsisi zingine hazikupinga Uwekezaji.

MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…
  • Mkataba maximum miaka 30
  • Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
  • Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
  • Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
  • Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
  • Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
  • Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
Sasa kwa maboresho hayo Bado wengi nimeona wamefungua Nyuzi za kuilaumu TEC na baadho ya Wananchi na ASASI nyingine za kiraia.

Naomba kuwauliza kuwa Tatizo ni MKATABA AU Tatizo ni waarabu kuwekeza?
 
Kwa hiyo wewe na akili zako tuseme za kuzaliwa tu ulidhani issue ilikuwa mkataba mbovu? Huo mkataba ulikuwa na ubovu gani hadi ukaamini?

Watanzania mnapaswa kujifunza sana kuhusu siasa za nchi yenu na ujinga wa wananchi. Na siku mkijua siasa zenu za hovyo na ujinga wenu ndo chanzo cha umaskini wenu hapo ndo mtakapogomboka.

Kiufupi hakuna shida yeyote kwenye uwekezaji wa DP World nchini Tanzania. Ni chuki, uzandiki, siasa za hovyo na ujinga tu ndo zilisababisha kelele zote zile
 
Mkuu nilikuwa mmoja niliyekuwa nakupinga sana ila kwa sasa nimegundua kuwa ulikuwa sahihi...
Tatizo sio Mkataba Tatizo ni uwekezaji na Taifa linalowekeza..

Maana Nimeona serikali imefanyia kazi malalamiko yote ya wananchi pamoja na Waraka wa TEC na Mkataba umeboreshwa na umekuwa na maslahi mapana kwa nchi..

Ila bado watu wanahoji kwanini TEC anajihusisha na serkali...na kwanini Serikali bado wanasign Mikataba..

Kwahyo Hata baada ya kurekebishwa kwa mkataba unatka Uadui?

Mkataba umerekebishwa ila bado watu wanajipa umuhimu usio stahili..
 
TEC hawana tofauti na vyama vya siasa vya upinzani vya Tanzania, tofauti ni hivi TEC hujificha kwenye kivuli cha dini tu.........
Hapana hilo nakataa Walivyoona vina mushkeli vyote vimerekebishwa ulitaka wafanye nini waendelee kuilaumu serikali kwa kurekebisha?
 
Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo.

Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi.

Wananchi walitaka maboresho ya kimktaba.

TLS ilitaka maboresho ya mkataba na ASASI zote za kiraia na zisizo za kiraia zilitaka Mabiresho ya mkataba na TEC na TAAsisi zingine hazikupinga Uwekezaji.

MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…

  • Mkataba maximum miaka 30
  • Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
  • Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
  • Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
  • Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
  • Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
  • Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
Sasa kwa maboresho hayo Bado wengi nimeona wamefungua Nyuzi za kuilaumu TEC na baadho ya Wananchi na ASASI nyingine za kiraia.

Naomba kuwauliza kuwa Tatizo ni MKATABA AU Tatizo ni waarabu kuwekeza??
Jibu liko wazi. Huku kwenye "mihadhara" huwa tunaambiwa hawa hawafai kwasababu wanaona mambo kiumoja (singleness/oneness). Na kwao hili ni tatizo.
 
Mbona mwanzoni ulikubari na wengi Nyie mlisema hamna shida
Ulikubari=Ulikubali
Anyway sikuwahi kukubali mkataba kama ulivyo Unaweza ukafatilia Post zangu nilikuwa napinga sana mpaka utakapo rekebishwa.

Sasa baada ya kurekebishwa bado unataka nipinge?
 
Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo.

Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi.

Wananchi walitaka maboresho ya kimktaba.

TLS ilitaka maboresho ya mkataba na ASASI zote za kiraia na zisizo za kiraia zilitaka Mabiresho ya mkataba na TEC na TAAsisi zingine hazikupinga Uwekezaji.

MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…

  • Mkataba maximum miaka 30
  • Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
  • Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
  • Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
  • Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
  • Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
  • Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
Sasa kwa maboresho hayo Bado wengi nimeona wamefungua Nyuzi za kuilaumu TEC na baadho ya Wananchi na ASASI nyingine za kiraia.

Naomba kuwauliza kuwa Tatizo ni MKATABA AU Tatizo ni waarabu kuwekeza??
Kumbe ulikuwa hujui ???!!! 😂🙏
 
Kwa hiyo wewe na akili zako tuseme za kuzaliwa tu ulidhani issue ilikuwa mkataba mbovu? Huo mkataba ulikuwa na ubovu gani hadi ukaamini?

Watanzania mnapaswa kujifunza sana kuhusu siasa za nchi yenu na ujinga wa wananchi. Na siku mkijua siasa zenu za hovyo na ujinga wenu ndo chanzo cha umaskini wenu hapo ndo mtakapogomboka.

Kiufupi hakuna shida yeyote kwenye uwekezaji wa DP World nchini Tanzania. Ni chuki, uzandiki, siasa za hovyo na ujinga tu ndo zilisababisha kelele zote zile
kwa hiyo unataka kuniambia kabla ya maboresho pia ulikuwa sawa , na ungwtumika ule wa mwanzo!?
 
Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo.

Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi.

Wananchi walitaka maboresho ya kimktaba.

TLS ilitaka maboresho ya mkataba na ASASI zote za kiraia na zisizo za kiraia zilitaka Mabiresho ya mkataba na TEC na TAAsisi zingine hazikupinga Uwekezaji.

MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…

  • Mkataba maximum miaka 30
  • Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
  • Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
  • Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
  • Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
  • Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
  • Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
Sasa kwa maboresho hayo Bado wengi nimeona wamefungua Nyuzi za kuilaumu TEC na baadho ya Wananchi na ASASI nyingine za kiraia.

Naomba kuwauliza kuwa Tatizo ni MKATABA AU Tatizo ni waarabu kuwekeza??
Naomba uniekeweshe labda mimi sielewi!

1. IGA na HGA ni hipi ina nguvu zaidi?
2. Makosa yaliyopo kwenye IGA yanawezaje kurekebishwa na HGA?
3. IGA kati TZ na Dubai iliyosainiwa October 25, 2022 ilisainiwa na Serikali ya Dubai au Tanzania au ilisainiwa na DP WORLD na Tanzania?
4. Moja ya makisa makubwa katika ile IGA ilikuwa Instrument of power iliyosemekana ilitokewa na Serikali ya Dubai Kwa DP World, Haikuwa na jina ya aliyeiandika wala cheo, je! Makosa makubwa kama haya HGA inawezaje kurekebisha?

5. Kwa Mujibu wa taratibu Isntrument of Power ilipaswa kutolewa UAE cos kwa mujibu wa Katiba ya UAE, Dubai haina mamlaka ya kusaini mikataba ya biashara na mashirikiano na Taifa jingine nje na mataifa jiran yake, Je! Tutapaswa kumshtaki nani tukashinda kesi ikiwa vitu muhimu kama hivi vilikiukwa?

6. IGA ambayo ndiyo msingi wa mikataba yote hii ilisema mkataba ule utakoma pale mikataba mingine itakapo koma. Unajua kama kifungu hiki kinaweza kutumika kam rejea pale mtakaposhindwa kukubalina juu ya kuvunja mkataba katika hizo HGA mlizosaini jana?

7. Kwa hayo machache niliyokupa unaamini wakiopinga walikuwa na Tatizo na Waarabu au walikuwa wanajaribu kuweka sawa tusiingine kwenye mtego wa kuja kulipa mabilion ya fedha pale serikali nyingine itakapokuja na kuona mkataba uo ulikuwa mbovu?
 
Back
Top Bottom