Hongera Rais Samia kwa kuwekeza kwenye hoteli za kitalii Arusha

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,515
Habari zilizopo kwa Tour Operator na hata Tour guide Arusha ni kwamba Mama ndie kawekeza kwenye hoteli ya Gran Melia Ngorongoro,hata Staffu wa Mamalaka ya Hifadhi ya Ngoronhoro hilo wanalijua kabisa sio jambo siri kabisa. Mama ameameamua kuwa Mfanyabiashara ili kusaidia swala la ajira Tanzania,hili tumpongeze sana.

La pili ni kwamba tetesi zinasema Mama ndie mnunuzi wa ilio kuwa Impala Hotel,kumbuka hii hoteli imeuzwa na sasa inakarabatiwa sasa za chini kabisa ni kwamba Mama ndie mnunuaji wa hii Hoteli maarufu sana Arusha enzi za Mtemi Mrema wa Impala.Hili sio jambo baya kabisa make watakao ajiriwa huko ni wa Tanzania.

Ombi langu ni kwamb haya mambo yawe yanawekwa wazi sio Zambi wala kosa,haina haja ya kificha ficha na baadae kuja kufichua kwenye kuandika Kitabu.

Wakenya na Ufisadi wao huwa biashara zao ziko wazi.Asilimia kunbwa ka sio upte ya Familia ya Kenyata zinajulikana, biashara za Odinga ikiwemo ya gesi zinajulikana,Biashara za Ruto kama Ile Hoteli yake,kampuni za Bima zinajulikana.

Tanzania kuna tabia watawala wanaficha sana mambo yao na baadae kuja kutundikia vitabu na kufichua.
 
Back
Top Bottom