Namwambia rafiki yangu mpita njia kwamba zama zimebadilika, malaika anaetawala sasa ni malaika wa kheri. Watu wanaenda wapendako na wanalala wanapotaka wao. Enzi za kumiliki vikosi na magenge ya...
Akihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu, Mwenyekiti wa Chadema, Feeman Mbowe, amesema Rais Samia haaminiki na ili tuamini...
Tanzania nadhani tunashindwa kuelewa kwamba nchi yetu ili iendelee lazima wafu wetu wasafiri nje . Tunashindwa kuelewa ili nchi iweze kupunguza changamoto za ajira lazima watu wake wakatafute...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo...
Nimefuatilia kila mtu anashangaa inakuwaje nchi ya kidemokrasia Raisi ana nguvu hivi. Ndiyo maana ni muhimu kubadilisha katiba
https://www.youtube.com/live/IYfoTqmzPv0?si=LhXMtnbTxR3ff56N
KAMATI YA BUNGE YATOA PONGEZI BMT KUENDELEZA MICHEZO
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya Mwenyekiti Mhe. Husna Sekiboko imelipongeza Baraza la Michezo la Taifa kwa kuendelea...
PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan akiagwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kenneth Kaunda Nchini Zambia na Rais wa Nchi hiyo Mhe, Hakainde Hichilema mara baada...
Katika miaka ya kuanzia 2015 Zana nzima ya uzalendo imekuwa ikipotoshwa Sana. Kipindi cha awamu ya tano neno uzalendo liligeuzwa kuwa ni Hali ya mtu kusifia serikali na w viogozi wake. Ikifika...
Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa, Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa...
1. Mikataba ya uwekezaji iliyosainiwa kati ya Nchi ya Tanzania na mamlaka ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World imesainiwa kuzingatia kifungu cha 2 cha sheria ya Ubia Na. 6 ya mwaka 2023 na kifungu...
Gharama kubwa za kodi za wananchi zimetumika. Lakini wapo viongozi ambao wametumia ofisi za umma kukwamisha miradi ya SGR kwa malumbano yasiyo na tija.
Ukijiuliza wananufaike utasikia wanamiliki...
Nguvu ya Umma huwa inasomba tu kundi la Watu wanaojielewa na Wasiojielewa ila wanakuwa Wengi kweli kweli kama Mafuriko ya Lowassa akiwa Chadema 2015
Umma Wenye Nguvu ni Ule uliosheheni Watu Wenye...
Kila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania.
Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia.
Mabango yametanda...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Bunge la Jamhuri ya Zambia leo tarehe 25 Oktoba, 2023.
Bunge la Zambia limesitisha kwa muda shughuli zake ili...
Hii ofisi ya ACT wazalendo ilifunguliwa mwezi wa6 imekuwa wazi kea miezi3tu,na wakati huo aah pilika za wadau kuingia na kutoka zikijuwepo,lakini sasa kwisha ofic mwezi sasa imefungwa nadhani...
Nae Baba Nyerere ndie wetu muhifadhi nae ndie alieleta Uhuru, Tanzania Yetu Ndio Nchi Ya Furaha.
Huu wimbo sijui ni nani waliimba haichuji aise, unaishi na maana yake ileile. Wimbo una historia...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwanza niwapongeze sana viongozi wetu wa TEC wakiongozwa na katibu mkuu wake Dr charles kitima kuhudhuria katika Hafla ya utiaji saini wa mkataba wa uwekezaji wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Zambia ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Hakainde Hichilema...