benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Bunge la Jamhuri ya Zambia leo tarehe 25 Oktoba, 2023.
Bunge la Zambia limesitisha kwa muda shughuli zake ili kumpokea Rais Samia ambaye atahutubia Bunge hilo
Bunge la Zambia limesitisha kwa muda shughuli zake ili kumpokea Rais Samia ambaye atahutubia Bunge hilo