Tanzania yetu ndio nchi ya furaha

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
5,726
8,103
Nae Baba Nyerere ndie wetu muhifadhi nae ndie alieleta Uhuru, Tanzania Yetu Ndio Nchi Ya Furaha.

Huu wimbo sijui ni nani waliimba haichuji aise, unaishi na maana yake ileile. Wimbo una historia pana ya nchi yetu kwa ufupi.

Leo hii tuna Demokrasia siasa ya vyama, tuna fedha yetu wenyewe na mipaka inayotambulika duniani, tuna jeshi la kutulinda wenyewe, tuna elimu na mfumo wa elimu yetu wenyewe, huduma za msingi mathalalani afya, elimu, maji n.k zunatolewa kwa haki na usawa bila kujali rangi, dini au kabila la mtu. Tuna uhuru wa kuabudu, kutoa maoni na kupata habari. Tuna bunge, mahakama na Serikali kamili ya kiraia.

Hakika Mwalimu Nyerere ndie wetu muhifadhi, nae ndie alieleta Uhuru Tanzania Yetu Ndio Nchi Ya Furaha..
 
Wengi mlio soma enzi za Nyerere na kuudhuria kozi za uraia au JKT mliharibiwa kisaikolojia, menta distort ......mlilishwa sumu, hi nchi ina furaha gani kama sio ujinga na wizi.
 
Wengi mlio soma enzi za Nyerere na kuudhuria kozi za uraia au JKT mliharibiwa kisaikolojia, menta distort ......mlilishwa sumu, hi nchi ina furaha gani kama sio ujinga na wizi.
Kwani huna cha kufanya hadi unakua huna furaha, pole aise. Fanya bidii bana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom