Akiwa bungeni katika katika Mkutano wa 13, Kiako cha 1, leo Oktoba 31, 2023 Spika tulia amesema, ili waweze kukomboa Muda bunge liwe limepokea pongezi zote kwa mujibu wa kanuni zake, na sio kila...
George Soros yule mzee wa Kiyahudi ambaye ndiye mmiliki wa open society amefunga na kuondoa funding kwenye Open Society jambo lililopeleka ofisi nyingi ikiwemo ya Nairobi kufungwa, kwa...
Kwa heshima na taadhima ninaiomba Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho. Leo nilikuwa nafanya mazoezi asubuhi...
Kupitia upashanaji habari wa sisi wananchi, tumegundua kuna ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu uliofanywa na JWTZ Kambi ya Lugalo dhidi ya raia.
Siyo siri, tukio la kuuawa kwa Luteni Kanali...
Baada ya kumrejesha Makonda , Dr Hangaya akitetea uamuzi wake huo alisema kwamba , Makonda hakuwahi kuikosea ccm , " mligombana wenyewe kwa wenyewe huko "
Sasa kwa vile Sabaya naye hakuwahi...
Nimefurahishwa na constructive criticism ya ACT Wazalendo ambayo mara zote Huwa hawaishii kupinga na kupayuka tuu Bali Huwa Wana offer alternative way.
Nimekuwa nawafuatilia kwenye masuala mengi...
Hii nchi yetu ni tamu sana. Ukiwa na stress umependa mwenyewe. Hapa nimekuletea tweet ya Waziri akibishana na mwananchi wake huko mtandaoni.
Yako wapi maadili ya viongozi?
Kutopatikana kwa vibali vya usafiri wa Helikopta unaotumiwa kwenye ziara za kuimarisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumekwamisha ratiba ya viongozi wa chama hicho kuendelea na...
Fuatilia yanayojiri kwenye Mkutano wa 13, Kikao cha 1, leo Oktoba 31, 2023.
https://www.youtube.com/live/7O0-sN3pzjA?si=eZJVi9sURaCGwvtK
Mbunge mpya wa Mbarali, Bahati Ndingo ameapa leo baada ya...
Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama amesema sera ya Mambo ya Nje na Diplomasia ya Nchi ni bora pamoja na uhusiano wa Kidiplomasia umechangia ushindi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
Wataalamu wa masuala ya siasa na mahusiano karibuni tudadavue.
Nimepitapita mitandaoni kwa maana ya social media, na kwenye magazeti sijakutana na pongezi toka kwa hawa watu wawili muhimu sana...
WASANII KILIMANJARO WAVUTIWA NA UTEUZI WA JOKATE MWEGELO UWT, WARUDISHA KADI ZA UPINZANI
Wasanii Kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wahamasika na Uteuzi wa Katibu Wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg...
Kimsingi miongoni mwa mambo yanayosababisha chama cha siasa kipate Ruzuku ni kura za mgombea Urais na kura za Wabunge wa majimbo
Ndio sababu wakati Wabunge wa Chadema wanaunga Juhudi za shujaa...
Reli ya kati DSM - Kigoma;
1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni.
TAZARA
1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76).
Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km...
Fatah na Hamasi ni mahasimu wa kisiasa wa kihistoria. Yote yanayotokea huko hususani Ghaza kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya mgawanyiko uliopo baina yao wenyewe. Ni ngumu sana kupata suluhu ya...
Jamani nimejaribu kupitia kwenye mitandao kutafuta mipango ya maendeleo ya makazi kwa hii miji miwili Kigali na Dar es salaam.
Nini kimenisukuma kwanza ni kutokana na maneno ninayoyasikia mtaani...
Hii ndio Taarifa mpya kwa siku ya Leo, kwamba Mbowe amepata ugeni jioni ya leo nyumbani kwake , baada ya kutembelewa na Mwanasiasa Mashuhuri Mh Tundu Lissu .
Pamoja na Mambo mengine , Tundu Lissu...
Hili sio siri maana alisema hadharani Rais Magufuli akiwa hai. Na kama Kauli ya Rais sio utani ni madhubuti jee hizi pesa za TASAF alizoziiba Makonda akiwa mkuu wa Mkoa alirudisha? Au baada ya...
Kuchaguliwa kwa Dkt. Tulia Ackson kua Rais wa IPU kumebadili kabisa equation ya nani ndani ya chama Tawala kumrithi Dkt. Samia atakapohitimisha Ngwee zake za Utawala kikatiba nchini.
Ushindi wa...
Baada ya kuibuka Mnyukano ndani ya Chama na sintofahamu mbalimbali baina ya Viongozi wa chama na Baadhi ya Wanachama.
Jambo hilo limemuibua Makamu Mwenyekiti Bara akielezea sintofahamu hizo...