Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,617
- 287,343
Hii ndio Taarifa mpya kwa siku ya Leo, kwamba Mbowe amepata ugeni jioni ya leo nyumbani kwake , baada ya kutembelewa na Mwanasiasa Mashuhuri Mh Tundu Lissu .
Pamoja na Mambo mengine , Tundu Lissu ametumia wasaa huo kumpa pole nyingi Mbowe kwa Kesi ya uongo ya Ugaidi wa kusingiziwa
Mungu ibariki Chadema
View attachment 2501072
Pamoja na Mambo mengine , Tundu Lissu ametumia wasaa huo kumpa pole nyingi Mbowe kwa Kesi ya uongo ya Ugaidi wa kusingiziwa
Mungu ibariki Chadema
View attachment 2501072