Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 19014) wakati teknolojia ikiwa duni

1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 19014) wakati teknolojia ikiwa duni.
....ikumbukwe pia, hio saga ng'ombe iliyofanyika, yaani Ukatili uliofanyika kwa mababu zetu kutekeleza hayo ilikuwa ni balaa.

....mababu zetu hawakulipwa fidia pale ilipobidi reli kupita kwenye vijiji vyao

....mababu zetu hawakulipwa mishahara mizuri.

...faida kubwa ya Reli hizo zilikuwa zikienda Kujenga Ulaya

....
 
Reli ya kati Dsm - Kigoma;

1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 19014) wakati teknolojia ikiwa duni.

TAZARA

1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76).

Karne ya 21 Reli ya Dsm - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7.

Hili Taifa limelaaniwa kwa hujuma, uzembe na ufala...
.
.
CnP
Mkuu weka masahihisho ni miaka 9 na si miaka saba.
Na kilometer za dar moro kwa njia ya reli hazifiki ata 220, njia ya barabara tu moro dar hazifiki 200.
TAZARA nayo ilijengwa muda mfupi kutoka dar mpaka ndola karibu km 1600 hivi.
 
Reli ya kati Dsm - Kigoma;

1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 19014) wakati teknolojia ikiwa duni.

TAZARA

1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76).

Karne ya 21 Reli ya Dsm - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7.

Hili Taifa limelaaniwa kwa hujuma, uzembe na ufala...
.
.
CnP
Majangili ya CCM hayawezi kukubali sababu yana mabasi na malori
 
....ikumbukwe pia, hio saga ng'ombe iliyofanyika, yaani Ukatili uliofanyika kwa mababu zetu kutekeleza hayo ilikuwa ni balaa.

....mababu zetu hawakulipwa fidia pale ilipobidi reli kupita kwenye vijiji vyao

....mababu zetu hawakulipwa mishahara mizuri.

...faida kubwa ya Reli hizo zilikuwa zikienda Kujenga Ulaya

....
Sisi tunanufaika na reli hizo mpaka Leo
Tuliopata faida ni sisi
 
Reli ya kati DSM - Kigoma;

1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni.

TAZARA

1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76).

Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7.

CnP
Daaaa! Inasikitisha kwa kweli.
 
Reli ya kati DSM - Kigoma;

1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni.

TAZARA

1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76).

Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7.

CnP
Watu walibeba mawe kwa kichwani na kutembea kwa Miguu....hizi tech za wachina wanabeba malori na matruck ya kufa mtu wanajenga kwa miaka 10 tena inadumu miaka 20 tu inaanza kubomoka.

Hii kitu inayoitwa sayansi na tech huwa siielewi.
 
Reli ya kati DSM - Kigoma;

1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni.

TAZARA

1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76).

Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7.

CnP
Mkuu, hesabu zinakusumbua?
 
Sisi tunanufaika na reli hizo mpaka Leo
Tuliopata faida ni sisi
Ukisema sisi una maana gani. Ndio kina nani?

Haya basi tuseme mlinufaika, Je, unaweza kuni orodheshea hayo mlionufaika nayo hapa?

Tafadhali, zingatia huo muda, yaani kati ya 1905 na 1914.
Asante
 
Wale walikuwa watumwa waliopata kile kinachoitwa hasara ndio wamepata faida
 
Mabasi haya ya Morogoro yamenunuliwa mapya sijui mia ngapi na huyo mwenye mabasi hawezi kuruhusu SGR ifanye kazi. Kwanza mabasi yake ni mengi mno ameyasambaza mikoa yote na amechukua ruti zote na bado mengine yamebaki.

Reli hii ya zamani ya Dar , Moshi mpaka Arusha iliachwa kwa miaka 16 haifanyi kazi mpaka Jiwe JPM alipoifufua sababu zinajulikana. Watalii wengi wanatumia treni hii japokuwa kipande cha Korogwe mpaka Moshi ni kibaya sana naomba serikali itengeneze watu wanadai kwamba sehemu hii reli ni nyembamba
 
Sasa Hivi Kubwa Uchotaji Cash Hakuna Kazi
Mpaka Ajabu Eti Mkandarasi Kapewa Kazi Hadi Mwanza, Isaka, Kigoma
Wakati Dar Es Salaam ~Morogoro Unaambiwa Miti Imeanza Kuota
 
Reli ya kati DSM - Kigoma;

1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni.

TAZARA

1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76).

Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7.

CnP
Tukisema CCM inatupeleka kaburini hamtuamini.
Na hiyo Dar Moro pamoja na kwamba miaka 7 imeisha lkn reli baado kuanza shughuli.
Hivi kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM wakikaa huwa Wana discuss nini?
CAG report ovyo.
Umeme ovyo
Barabara kibaha Chz ovyo,
Education ovyo watoto wanakaa chini darasani.
Ila kuvunja nyumba za watu!!!!!
 
Back
Top Bottom