Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefurahishwa na constructive criticism ya ACT Wazalendo ambayo mara zote Huwa hawaishii kupinga na kupayuka tuu Bali Huwa Wana offer alternative way. Nimekuwa nawafuatilia kwenye masuala mengi...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Hii nchi yetu ni tamu sana. Ukiwa na stress umependa mwenyewe. Hapa nimekuletea tweet ya Waziri akibishana na mwananchi wake huko mtandaoni. Yako wapi maadili ya viongozi?
19 Reactions
59 Replies
5K Views
Kutopatikana kwa vibali vya usafiri wa Helikopta unaotumiwa kwenye ziara za kuimarisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumekwamisha ratiba ya viongozi wa chama hicho kuendelea na...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Mkutano wa 13, Kikao cha 1, leo Oktoba 31, 2023. https://www.youtube.com/live/7O0-sN3pzjA?si=eZJVi9sURaCGwvtK Mbunge mpya wa Mbarali, Bahati Ndingo ameapa leo baada ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama amesema sera ya Mambo ya Nje na Diplomasia ya Nchi ni bora pamoja na uhusiano wa Kidiplomasia umechangia ushindi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Wataalamu wa masuala ya siasa na mahusiano karibuni tudadavue. Nimepitapita mitandaoni kwa maana ya social media, na kwenye magazeti sijakutana na pongezi toka kwa hawa watu wawili muhimu sana...
4 Reactions
94 Replies
24K Views
WASANII KILIMANJARO WAVUTIWA NA UTEUZI WA JOKATE MWEGELO UWT, WARUDISHA KADI ZA UPINZANI Wasanii Kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wahamasika na Uteuzi wa Katibu Wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kimsingi miongoni mwa mambo yanayosababisha chama cha siasa kipate Ruzuku ni kura za mgombea Urais na kura za Wabunge wa majimbo Ndio sababu wakati Wabunge wa Chadema wanaunga Juhudi za shujaa...
0 Reactions
4 Replies
769 Views
Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni. TAZARA 1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76). Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km...
23 Reactions
28 Replies
4K Views
Fatah na Hamasi ni mahasimu wa kisiasa wa kihistoria. Yote yanayotokea huko hususani Ghaza kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya mgawanyiko uliopo baina yao wenyewe. Ni ngumu sana kupata suluhu ya...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani nimejaribu kupitia kwenye mitandao kutafuta mipango ya maendeleo ya makazi kwa hii miji miwili Kigali na Dar es salaam. Nini kimenisukuma kwanza ni kutokana na maneno ninayoyasikia mtaani...
4 Reactions
40 Replies
6K Views
Hii ndio Taarifa mpya kwa siku ya Leo, kwamba Mbowe amepata ugeni jioni ya leo nyumbani kwake , baada ya kutembelewa na Mwanasiasa Mashuhuri Mh Tundu Lissu . Pamoja na Mambo mengine , Tundu Lissu...
21 Reactions
56 Replies
5K Views
Hili sio siri maana alisema hadharani Rais Magufuli akiwa hai. Na kama Kauli ya Rais sio utani ni madhubuti jee hizi pesa za TASAF alizoziiba Makonda akiwa mkuu wa Mkoa alirudisha? Au baada ya...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Kuchaguliwa kwa Dkt. Tulia Ackson kua Rais wa IPU kumebadili kabisa equation ya nani ndani ya chama Tawala kumrithi Dkt. Samia atakapohitimisha Ngwee zake za Utawala kikatiba nchini. Ushindi wa...
6 Reactions
80 Replies
4K Views
Baada ya kuibuka Mnyukano ndani ya Chama na sintofahamu mbalimbali baina ya Viongozi wa chama na Baadhi ya Wanachama. Jambo hilo limemuibua Makamu Mwenyekiti Bara akielezea sintofahamu hizo...
9 Reactions
46 Replies
4K Views
Nadhani Maskioni mwetu jina la Paul Makonda sio jina geni, kiongozi huyu alijipatia umaarufu mkubwa kutokana na aina ya utendaji wake wa kazi. Alifanikiwa kuanzia operation mbalimbali ambazo...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu wanaJF wenzangu, najua leo tar 26/10, asilimia 95 ya wanasiasa wote Tanzania waliopo ndani na nje, akili zao, macho yao, masikio yao na fikra zao zipo katika...
8 Reactions
99 Replies
7K Views
Today, the 30th October 2023 to November 1st, 2023, Tanzania will be hosting the President of the Federal Republic of Germany- His Excellency Frank Walter Steinmeier- on an official work visit. As...
0 Reactions
2 Replies
785 Views
Kanda ya Nyasa chai isiyokuwa na Sukari wanaita Chingambwe Nilisema hapa JF hiyo Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari zetu bila Tundu Lisu ni Sawa na bure, mkabisha Kiko wapi sasa bwashee...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa ADC Taifa, Doyo Hassan Doyo amesema kauli iliyotolewa na Katibu wa NEC – Itikani na Uenezi wa CCM, Paul Makonda kuwa vyama vya Upinzani Nchini havipo ni sawa na kupinga maelekezo ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…