Unachukuliaje ujio wa Paul Makonda kama Katibu Mwenezi?

Richard mtao

JF-Expert Member
May 13, 2018
209
236
Nadhani Maskioni mwetu jina la Paul Makonda sio jina geni, kiongozi huyu alijipatia umaarufu mkubwa kutokana na aina ya utendaji wake wa kazi.

Alifanikiwa kuanzia operation mbalimbali ambazo zilizaa matunda makubwa sana, kuanzia operation ya madawa ya kulevya pamoja na ile ya Kukataa mashoga.

Lakini kiongozi huyu alipotea maskioni mwa watu mara baada ya kuwania ubunge mwaka 2020.

Maswali yalikuwa na mengi sana kiasi kwamba kila mmoja alisema lake.

Lakini hivi juzi ameteuliwa na kuwa katibu wa itikadi na uenezi chama cha mapinduzi taifa.

Je, mwana jamvi mwenzangu hii unaichukuliaje?

Karibu tujifunze kitu kupitia kiongozi huyu.
 
1698662383692.png
1698662394364.png
1698662408240.png
@johnthebaptist
 
Namkubali sana Paul Makonda katika nafasi anazopewa
Wapo wanaomponda lakini hawana alichonacho na hata wakipewa majukumu anayofanya wanapwaya

Zipo tuhuma nyingi za kumchafua lakini hizo tuhuma hazijawahi kuwa na uthibitisho.

Tunahitaji watu kama makonda kwenye baadhi ya majukumu kwa kweli! Usiyemtaka unaruhusiwa kubisha kwa vigezo

Tanzania ilipoa sana wacha ichangamke kidogo
 
Uteuzi mbovu sana. Kwa hotuba yake imekaa kama yupo kipindi cha magufuli ,wakati mama samia kipindi hiki anarudisha taifa pamoja na maridhiano yanaendelea na upinzani..Aina utawala wa sasa ulihitaji mtu mwenye hekima sana..na sio kupiga domo kubwa na dharau kwa upinzani...nakuhakikishia Huyu bwana atakwama sana si kidogo maana ndani ya ccm na nje ya ccm wengi hawampendi na hawamtaki sema wanamsupport ile ya kinafki ..
 
Namkubali sana Paul Makonda katika nafasi anazopewa
Wapo wanaomponda lakini hawana alichonacho na hata wakipewa majukumu anayofanya wanapwaya

Zipo tuhuma nyingi za kumchafua lakini hizo tuhuma hazijawahi kuwa na uthibitisho.

Tunahitaji watu kama makonda kwenye baadhi ya majukumu kwa kweli! Usiyemtaka unaruhusiwa kubisha kwa vigezo

Tanzania ilipoa sana wacha ichangamke kidogo
Na pacha wake Sabaya
 
Tunasema kipele kimepata mkunaji. Alichelewa kupewa nafasi yake. Ila better late than never. Go go Makonda, Chama kinakutegemea sana.
 
Nadhani Maskioni mwetu jina la Paul Makonda sio jina geni, kiongozi huyu alijipatia umaarufu mkubwa kutokana na aina ya utendaji wake wa kazi.

Alifanikiwa kuanzia operation mbalimbali ambazo zilizaa matunda makubwa sana, kuanzia operation ya madawa ya kulevya pamoja na ile ya Kukataa mashoga.

Lakini kiongozi huyu alipotea maskioni mwa watu mara baada ya kuwania ubunge mwaka 2020.

Maswali yalikuwa na mengi sana kiasi kwamba kila mmoja alisema lake.

Lakini hivi juzi ameteuliwa na kuwa katibu wa itikadi na uenezi chama cha mapinduzi taifa.

Je, mwana jamvi mwenzangu hii unaichukuliaje?

Karibu tujifunze kitu kupitia kiongozi huyu.
Sifa kuu ya Makonda sio ya utendaji, Bali ni kushiriki Moja kwa Moja katika matendo maovu, na yasiyo na maadili kipindi Cha utawala wa kidhalimu wa Magufuli. Hizo sifa nyingine sijui kupambana na madawa ya kulevya, sijui kupambana na ushoga ni kichaka tu ili kuficha uhalifu wake aliokuwa anaendesha hapa nchini. Yuko kwenye kundi la wahalifu zaidi kuliko ubora wa uongozi mnaotaka tuone anao.

Kwa kukusaidia tu yeye ni mfungwa mtarajiwa zaidi kuliko sifa nyingine yoyote. Ila kwa ccm inayotegemea uhalifu kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti, Makonda ni kiongozi sahihi.
 
Nadhani Maskioni mwetu jina la Paul Makonda sio jina geni, kiongozi huyu alijipatia umaarufu mkubwa kutokana na aina ya utendaji wake wa kazi.

Alifanikiwa kuanzia operation mbalimbali ambazo zilizaa matunda makubwa sana, kuanzia operation ya madawa ya kulevya pamoja na ile ya Kukataa mashoga.

Lakini kiongozi huyu alipotea maskioni mwa watu mara baada ya kuwania ubunge mwaka 2020.

Maswali yalikuwa na mengi sana kiasi kwamba kila mmoja alisema lake.

Lakini hivi juzi ameteuliwa na kuwa katibu wa itikadi na uenezi chama cha mapinduzi taifa.

Je, mwana jamvi mwenzangu hii unaichukuliaje?

Karibu tujifunze kitu kupitia kiongozi huyu.
Nachukulia kama ni laana
 
Nimefurahi sana yaani huku Kanda ya Ziwa mama asije kufanya kampein ashamaliza..

Makonda is a real game changer
Ccm haitegemei kura, huo uchaguzi ni kiinimacho ili kuombea mikopo na misaada kwa wazungu, lakini mbeleko ya vyombo vya Dola na tume isiyo huru ya uchaguzi ndio tegemoa halisi la ccm kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti.
 
Namkubali sana Paul Makonda katika nafasi anazopewa
Wapo wanaomponda lakini hawana alichonacho na hata wakipewa majukumu anayofanya wanapwaya

Zipo tuhuma nyingi za kumchafua lakini hizo tuhuma hazijawahi kuwa na uthibitisho.

Tunahitaji watu kama makonda kwenye baadhi ya majukumu kwa kweli! Usiyemtaka unaruhusiwa kubisha kwa vigezo

Tanzania ilipoa sana wacha ichangamke kidogo
Naunga mkono hoja
Amsha amsha zianze
 
Utadhibitishaje tuhuma zake, wakati huo uhalifu alikuwa anafanya kwa backup ya kiongozi aliyekuwa madarakani? Ije taasisi iliyo huru kama zile mahakama za kimataifa ambazo serekali huangukia pua siku zote, uone uhalifu wake utakavyowekwa wazi peupe.
 
Nadhani Maskioni mwetu jina la Paul Makonda sio jina geni, kiongozi huyu alijipatia umaarufu mkubwa kutokana na aina ya utendaji wake wa kazi.

Alifanikiwa kuanzia operation mbalimbali ambazo zilizaa matunda makubwa sana, kuanzia operation ya madawa ya kulevya pamoja na ile ya Kukataa mashoga.

Lakini kiongozi huyu alipotea maskioni mwa watu mara baada ya kuwania ubunge mwaka 2020.

Maswali yalikuwa na mengi sana kiasi kwamba kila mmoja alisema lake.

Lakini hivi juzi ameteuliwa na kuwa katibu wa itikadi na uenezi chama cha mapinduzi taifa.

Je, mwana jamvi mwenzangu hii unaichukuliaje?

Karibu tujifunze kitu kupitia kiongozi huyu.
Ya ngoswe aachiwe ngoswe,🤣🤣
 
Back
Top Bottom