Chadema bila Tundu Lissu ni sawa na chai bila sukari yaani " chingambwe"

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Kanda ya Nyasa chai isiyokuwa na Sukari wanaita Chingambwe

Nilisema hapa JF hiyo Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari zetu bila Tundu Lisu ni Sawa na bure, mkabisha

Kiko wapi sasa bwashee Erythrocyte?!!
 
Kwani katibu mwenezi na mpasha taarifa maarufu wa chama na mkazi halisi wa Kyela anasemaje?

Lkn mimi naamini mpasha taarifa atakuwa upande wa mwenyekiti anaekula nae, huyo makamu ni muongeaji tu lkn m'bahili na mbinafsi kinoma.

Si unaona michango ya mikutano kaenda kula na familia yake Ulaya, huku akiwaacha kina Mmawia mikono mitupu.
 
ccm mnamkubali sana Lissu.
Mnajifanya kumtukana lakini siku skijiunga na ccm mtamzungusha nchi nzima.

Jamaa sio mnafiki, hana kona, hapendi ufisadi, ni mtetezi wa kweli ni mzalendo namba moja kuliko kiongozi mkuu na anaaminika
Lisu bila Mbowe ni sawa sawa na gari bila dereva.

Kama mnabisha mwambieni aanzishe chama chake kama ataweza kupata hata wanachama elf 5.

Tatizo huku mitandaoni mnadanganyana sana. Hata Zito alidanganyika hivi hivi kupitia mitandao, leo hii amefikia wapi?

Lisu analitambua hili nlilosema, ndo maana hajawahi kuthubutu kuwaza kuanzisha chama maana atapotea mazima.
 
Unaongea ushudu, hatuongelei kuanzisha chama, cdm ni taasisi inaweza kuendeshwa na yeyote.

Kuanzisha chama hata Samia haezi
 
Kanda ya Nyasa chai isiyokuwa na Sukari wanaita Chingambwe

Nilisema hapa JF hiyo Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari zetu bila Tundu Lisu ni Sawa na bure, mkabisha

Kiko wapi sasa bwashee Erythrocyte?!!
 
Lisu bila Mbowe ni sawa sawa na gari bila dereva.

Kama mnabisha mwambieni aanzishe chama chake kama ataweza kupata hata wanachama elf 5.

Tatizo huku mitandaoni mnadanganyana sana. Hata Zito alidanganyika hivi hivi kupitia mitandao, leo hii amefikia wapi?

Lisu analitambua hili nlilosema, ndo maana hajawahi kuthubutu kuwaza kuanzisha chama maana atapotea mazima.
Inaifuatilia lakini Mikutano nila Lisu? Au na wewe umetekwa na Magaidi wa Hamas?
 
Achana na CCM, kwani hakuna chama kingine hadi ufikirie CCM tuu?
ccm mnamkubali sana Lissu.
Mnajifanya kumtukana lakini siku skijiunga na ccm mtamzungusha nchi nzima.

Jamaa sio mnafiki, hana kona, hapendi ufisadi, ni mtetezi wa kweli ni mzalendo namba moja kuliko kiongozi mkuu na anaaminika
 
Kanda ya Nyasa chai isiyokuwa na Sukari wanaita Chingambwe

Nilisema hapa JF hiyo Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari zetu bila Tundu Lisu ni Sawa na bure, mkabisha

Kiko wapi sasa bwashee Erythrocyte?!!
In the Briest zone wanaita Kiguju!
 
Kanda ya Nyasa chai isiyokuwa na Sukari wanaita Chingambwe

Nilisema hapa JF hiyo Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari zetu bila Tundu Lisu ni Sawa na bure, mkabisha

Kiko wapi sasa bwashee Erythrocyte?!!
mbele ya mbowe lisu is useless, unless in front of adv.Robert Amsterdam and his European masterz
 
Kanda ya Nyasa chai isiyokuwa na Sukari wanaita Chingambwe

Nilisema hapa JF hiyo Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari zetu bila Tundu Lisu ni Sawa na bure, mkabisha

Kiko wapi sasa bwashee Erythrocyte?!!
Hivi uunaifaham chadema au waisikia ndani chama cha chadema kila mwanachama yupo na haki sawa, hakuna mkubwa, kama ni uongozi mtagombea na kupigiwa kura.

Acheni zusha mambo ya ajabu kwamba Lissu ndo ameitengeza chadema fika ilipo au chadema ndo imemtengeneza Lissu fika alipo, ?

Lissu ndio ni mtu mhim ndani ya chama kama ilivyo kwa mwanachama yoyote, ila tunajua ni makam mwenyekiti, achen propaganda, chadema wapo sawa , ccm Jiandae nyolewa tu
 
Kanda ya Nyasa chai isiyokuwa na Sukari wanaita Chingambwe

Nilisema hapa JF hiyo Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari zetu bila Tundu Lisu ni Sawa na bure, mkabisha

Kiko wapi sasa bwashee Erythrocyte?!!
Rubbish, serikali inakataa kutoa kibali cha helcopter! Team yote iko kwenye hiyo issue
 
Back
Top Bottom