Baada ya Rais Samia kuingia Madarakani alikuja na 4Rs strategy yake.
Reforms
Reconciliation
Rebuilding
Resilience
Kufuatia Hali hii ambayo imepelekea uwazi na Demokrasia Kwa Watanzania Sasa hivi...
Orodha ya Shughuli za leo.
Dua
Maswali na Majibu
Miswada mbalimbali ya Sheria kusomwa kwa mara ya kwanza ikiwemo Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023.
Aidha...
Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata...
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo.
Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor...
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM anatarajiwa kufanya ziara mikoa ya Kanda ya Ziwa lakini tetesi za mambo yanayoelezwa kuendelea ili kumpokea yanatia aibu, kutia hasira na kufedhehesha sana...
Oman kupitia Shirika lake la Viwanja vya ndege vya Oman Jumatatu Juni 13 walisaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege ya Kilimanjaro (KADCO) ili kuendeleza...
Serikali iliwahi kusema inatumia Bil.550 Kwa mwaka Kuagiza magari, vipuri, mafuta na matengenezo Kila mwaka.
--
Akijibu swali la Mbunge Asia Abdulkarim Halamga aliyehoji sababu za Serikali...
Kwamba taarifa zote zilifuatwa. Hata ilipobidi rufaa ilikatwa kwa waziri:
"Silence gives consent."
Kesho tutamwagika mitaani kwa maandamano yatakayokuwapo kila tarehe 9 ya mwezi hadi hoja zetu...
Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro
Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru amewaasa...
Mh. Byabato akijibu tuhuma za kugawa mitungi 70 kwa wapiga kura wake bika kukamilika. August 2. 2022 aligawa mitungi 100 nayo bila kukamilika Neema Lugangira viti maalum Kagawa 300 ikiwa...
Jimbo/Wilaya Bukoba Vijijini kunashida gani kutokupata Waziri au hata Naibu Waziri? Kwa kumbukumbu zangu naona toka N Karamagi atoke ndobasi mpaka leo.Vp Wabunge waliofuata sio wazuri au wanatumia...
Serikali ilitamka kuwa upungufu wa umeme umetokana na ukame lakini sasa hivi mabwawa na mito imejaa kutokana na mvua kuendelea kunyesha.
Pamoja na sababu hiyo kuna maeneo hapa Mwanza tangu...
Tanzania na Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu zimetiliana Saini mkataba wa mkopo nafuu wa dola za Marekani milioni 30 sawa na shilingi bilioni 70 za Tanzania kwa ajili...
Ukitaka kujua nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi mkubwa na uvunjaji wa sheria angalia mambo haya mawili tu yaliyopigiwa kelele sana na wananchi.
Kwanza kuna wale wabunge 19 wa chadema...
Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini na Waziri Cosato Chumi ameshauri serikali kuona namna ya kuangalia ili iweze Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kupungua kidogo ili kuwawezesha watu wengi zaidi...
IGP Sirro amemshukuru mfanyabiashara maarufu mjini Iringa ASAS kea kulijengea Jeshi la Polisi ghala la kuhifadhia silaha
Sirro amesema yeye ni mwenyeji wa Iringa kwani Form 5 na 6 amesoma...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa umoja wa mabunge duniani(IPU) leo Octoba 27, 2023. Kura 303 zilipigwa huku mshindi akihitaji angalau nusu ya...
Mwaka huu katika bajeti, Kuna bilioni 350 za ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa zilizua zogo, sijaona hata dalili ya mtu kuchimba msingi hapa Dodoma Wala Dar es salaam.
Basi hizo Hela zielekezwe...
Straight to the point;
Yaani ofisi za SIDO zilizojengwa Wilayani Chato enzi za utawala wa jiwe leo hii ni kiwanda cha KOBUCHA" Hii ni aina ya Pombe inayotengenezwa kwa kutumia Tangawizi.
Swali...