Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023 kusomwa kwa mara ya kwanza Bungeni, leo Novemba 10, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,989
Orodha ya Shughuli za leo.
  • Dua
  • Maswali na Majibu
  • Miswada mbalimbali ya Sheria kusomwa kwa mara ya kwanza ikiwemo Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023.
Aidha, muswada wa sheria za marekebisho ya vyama vya siasa (2023) utasomwa kwa mara ya kwanza.

SERIKALI: TUNASHUGHULIKIA MADAI YA WAFANYAKAZI WA SGR KUHUSU MALIPO YA NSSF
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David M. Kihenzile amesema Serikali inafahamu kuwa Mkandarasi Mkuu wa Mradi wa SGR (Yapi Merkezi) anasuasua kwenye kufanya malipo katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa watumishi wake katika mradi huo licha ya kuwa Sheria inaeleza anatakiwa kuwasilisha malipo haraka iwezekanavyo.

Akijibu swali la nyongeza lililoulizwa na Mbunge Mashimba Mashauri Ndaki, Naibu Waziri amesema wameshaanza vikao na Ofisi ya Waziri Mkuu kushughulikia changamoto hiyo ili Mkandarasi awe analipwa mara tu anapolipwa fedha na kisha kuwalipa Wazabuni wengine wa ndani.

Akiongezea majibu kuhusu hoja hiyo, Prof. Joyce L. Ndalichako ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) amesema:

“Nakiri kweli kuna madai ambayo Mkandarasi anadaiwa na Mfuko unafuatilia, tayari kuna makubaliano kati ya NSSF na Mkandarasi ili madeni yalipwe ndani ya mwaka mmoja pia kuna utaratibu maalumu wa kuwalipa wale ambao wanastahili kulipwa.”
 
I am sure all will be rubbish!
 
Bunge la chama kimoja linajadili muswada wa sheria za uchaguzi zinazohusu vyama vingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom