4Rs za Rais Samia Zimewavutia Watanzania Wengi Kupenda Kufuatilia Bunge.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,064
49,751
Baada ya Rais Samia kuingia Madarakani alikuja na 4Rs strategy yake.

Reforms
Reconciliation
Rebuilding
Resilience

Kufuatia Hali hii ambayo imepelekea uwazi na Demokrasia Kwa Watanzania Sasa hivi Kila mtu Yuko huru kuongea mawazi yake.

Sera hiyo ya Rais Samia imewezesha Sasa Wananchi kufuatilia Bunge lao ambalo liko live baada ya kupigwa Pini awamu Iliyopita.

Ukipita kwenye vibanda mbalimbali,maofisi nk Wananchi wame tune redio na TV zao kusikiliza Bunge lao.

My Take
Kwa Hamasa inayoendelea na jinsi wabunge wanavyowatetea Wananchi na kuiwajisha Serikali Hadi kufikia kuwashughulikia mafisadi ni wazi hakuna ombwe tena la Upinzani.

Hii inaonesha kwamba kumbe Demokrasia ya chama Kimoja inaweza fanya kazi ikiwa tuu tuna guarantee transparency.

Chadema tafuteni kazi ya kufanya.

View: https://twitter.com/MwanaHabariNews/status/1722905188925649261?t=XNknhgYvyUlR_QB61iEHLA&s=19
 
Back
Top Bottom