Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.

Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni sitini na tisa kalambwa miaka 60

Wadau wa sheria tusaidieni hapa!

IMG-20221216-WA0043.jpg
 
Huyo mchina amehukumiwa kulipa million 50 Kama fidia na nyongeza yakifungo Cha miezi 5 au faini ya laki tatu. Lakini huyu mtanzania kapigwa mvua bila kupewa nafasi ya faini Wala fidia.

Hapo Kuna mazingira ya rushwa au hofu ya mahusiano na nchi ya China iwapo tutamfunga mtu wao. Lakini wao mbona wanawafunga watu wetu wakishikwa na mabangi kwao? Tuyaache hayo, lakini huenda mchina anawatu nyuma yake wakubwa maana haiwezekani mtu atoke huko aje aue tembo 511 bila mwenyeji mwenye nguvu.
 
Huyo mchina amehukumiwa kulipa million 50 Kama fidia na nyongeza yalifungo Cha miezi 5 au faini ya laki tatu. Lakini huyu mtanzania kapigwa mvua bila kupewa nafasi ya faini Wala fidia.

Hapo Kuna mazingira ya rushwa au hofu ya mahusiano na nchi ya China iwapo tutamfunga mtu wao. Lakini wao mbona wanawafunga watu wetu wakishikwa na mabangi kwao? Tuyaache hayo, lakini huenda mchina anawatu nyuma yake wakubwa maana haiwezekani mtu atoke huko aje aue tembo 511 bila mwenyeji mwenye nguvu.
Thinking nzuri kabisa hii...
Haya mambo haya...
 
Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.

Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni sitini na tisa kalambwa miaka 60

Wadau wa sheria tusaidieni hapa!

View attachment 2449142
Mchina ni rafiki yetu kimaendeleo huyo mwingine ni lihujumu uchumi tu, TANZANIA yetu hii 🤔🤔
 
Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.

Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni sitini na tisa kalambwa miaka 60

Wadau wa sheria tusaidieni hapa!

View attachment 2449142
Mbe!
 
giphy.gif
 
Mimi siyo "mdau wa sheria" unaowaita waje wachangie mada yako, lakini nimeona siwezi kupita tu bila kuacha neno kwenye mada yako hii.
Neno langu ni fupi, na linawasilishwa kwa swali:

Je, huyo mchina ni mwekezaji?

Lisome hilo swali langu kwa mapana yake, ukizingatia hali ya nchi yetu ilivyo kwa sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom