Kwa umbali namwona Hayati Magufuli akija kutoka uwinguni

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,626
3,141
Kwa takribani wiki kadhaa tangu Makonda ateuliwe/ achaguliwe kuwa Katibu Mwenyezi Taifa, nimeona kuna kitu chema ndani yake kinakuja kuponya au kuleta unafuu wa makovu ya Watanzania yaliyotokana na kifo cha Mtumishi wa Mungu, Mwanamapinduzi na Mzalendo wa kweli, JPM.

Nauliza, huyu ndiye JPM ajaye au tumsubiri mwingine?

Kama ndiye, mimi nitamuunga mkono kwa zaidi ya 98%.
 
Kwa takribani wiki kadhaa tangu Makonda ateuliwe/achaguliwe kuwa Katibu Mwenyezi Taifa, nimeona kuna kitu chema ndani yake kinakuja kuponya au kuleta unafuu wa makovu ya Watanzania yaliyotokana na kifo cha Mtumishi wa Mungu, Mwanamapinduzi na Mzalendo wa kweli, JPM.

🗑️🗑️
 
Kwa utakatifu upi?
 
Kwa takribani wiki kadhaa tangu Makonda ateuliwe/ achaguliwe kuwa Katibu Mwenyezi Taifa, nimeona kuna kitu chema ndani yake kinakuja kuponya au kuleta unafuu wa makovu ya Watanzania yaliyotokana na kifo cha Mtumishi wa Mungu, Mwanamapinduzi na Mzalendo wa kweli, JPM.

Nauliza, huyu ndiye JPM ajaye au tumsubiri mwingine?

Kama ndiye, mimi nitamuunga mkono kwa zaidi ya 98%.
Wacha bangi,hayo ni maluweluwe tu
 
Acha kufuru wewe, ajaye toka making uni atakuwa ni Yesu ama Isa bin Mariam peke yake.
 
Back
Top Bottom