Inawezekana Kasi ya Makonda ndio imesitisha Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu. Chopa ni kisingizio tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,150
Kwa namna Komredi Makonda alivyopokelewa kwa bashasha Kanda ya Ziwa ni kana Kwamba Chadema na Chopa hawajakuwepo huko juzikati

Je, Chadema wataendelea na Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu?

Sabato Njema 😄😄🔥
 
Chadema ushawishi na propaganda wamepoa sana, nguvu ya leo huenda ni masalia ya mzee Lowasa!

Watengeneze mwamko mpya, slogan, vision mpya!!
 
Kwa namna Komredi Makonda alivyopokelewa kwa bashasha Kanda ya Ziwa ni kana Kwamba Chadema na Chopa hawajakuwepo huko juzikati

Je, Chadema wataendelea na Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu?

Sabato Njema 😄😄🔥
you are stupid, leta ushahidi wa kupewa kibali cha chopa halafu uandike ugoro huu! then you will be justified to say so!
 
Back
Top Bottom