Nimesema tujiandae kisaikolojia kuhusu miswada ya leo bungeni, Kila kitu anachagua Rais tume ya uchaguzi directly or indirectly

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,005
Tume huru ya uchaguzi iko wapi ikiwa kila kitu anachagua rais? directly or indirectly

At least nilitegemea kitu kama hiki..... to say the least Pascal Mayalla Erythrocyte johnthebaptist

20. The Swedish Election Authority is organised as follows:

21. The Election Authority is governed by a board consisting of a chairman and four members.
The government appoints all members of the board for a specific period of time. An administrative office performs the daily work, and the activities are governed by an administrative director appointed by the government for a specific period of time. Neither members of the board nor the administrative director are politically appointed.

22. The Election Authority has twelve employees, all of whom are civil servants employed after competence in open competition on the labour market. No employee of the Election Authority is politically hired, which forms a guarantee that the administrative decisions are made without political bias. There is a specific legal act (The Act on Public Employment) regulating, among other things, disciplinary liability for state employees in performing their duties.
 
Attachments

  • MUSWADA WA SHERIA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI.pdf
    382.5 KB · Views: 3
Mimi ndiyo maana kwenye ule uzi wa Mwanahabari nguli na Wakili Msomi Pascal Mayalla, nilisema wazi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hicho kilichopelekwa huko Bungeni, siyo kiini macho.

Yaani serikali hii hii ya CCM ifanye kitu chenye maslahi kwa Taifa!!! Aisee tutasubiri sana. Hao watu kila kitu wanachofanya, mara zote huangalia maslahi yao kwanza na yale ya chama chao.
 
Duh...!, nimeuona Muswada wa Tume ya Uchaguzi, ni bonge la changa la macho!.
P
 
Mimi ndiyo maana kwenye ule uzi wa Mwanahabari nguli na Wakili Msomi Pascal Mayalla, nilisema wazi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hicho kilichopelekwa huko Bungeni, siyo kiini macho.

Yaani serikali hii hii ya CCM ifanye kitu chenye maslahi kwa Taifa!!! Aisee tutasubiri sana. Hao watu kila kitu wanachofanya, mara zote huangalia maslahi yao kwanza na yale ya chama chao.
Hicho walichofanya kina maslahi kwa taifa, huwezi acha hatamu za nchi kushikwa kwa kura zilizopigwa na watu wasio na uelewa wa mambo,yaani watu wanaopiga kura kisa mgombea kaja na helkopta,mtu Leo unaambiwa ni fisadi kesho unaambiwa 'mabadiliko lowasa,lowasa mabadiliko'..ni upuuzi,Kama walikua wanaiba kura, waendelee kuiba mpaka pale majority ya watz watakua walau na elimu ya diploma
 
Natamani wabunge wa ccm na wanaccm wote wajifunze kwa yaliyomkuta Chenge.

Licha ya kuwa mwana ccm safi hata kuongoza kura za maoni lakini alipigwa chini asigombee ubunge. Naye hakufurukuta kwa vile aliamini hata angeenda upande wa pili asingetoboa kwa kuwa TUME YA UCHAGUZI ni mali ya mtu.

Ninachotaka kusema ni kuwa hakuna aliyesalama kwa tume mbovu ya uchaguzi. Hivyo ni muhimu kila mtu akadai tume ya uchaguzi iwe huru.
 
Back
Top Bottom