Tatizo la kukosekana kwa Usd nchini! Mamlaka husika zina Habari?

Kuna Tatizo kubwa la uwepo wa fedha Za dola nchini!

Serikali imepiga kimya!

Ni nini kifanyike?
There's nothing wanaweza fanya maana maamuzi ya dollar kupatikana wapi na wapi yanafanywa na wamarekani wenyewe. Hata kuna limits tumewekewa hatuwezi miliki madollar zaidi ya kiasi fulani. Hapo labda tuuze tu bidhaa nyingi kama utalii, mazao, dhahabu n.k ili tuweze fidia hiyo deficit otherwise upatikanaji wa dollar utakua limited tu.
 
KOSA LA KWANZA BOT WAMEKAA KIMYA KATIKA JAMBO NYETI KAMA HILI NA KUWAACHIA WATU WASIO NA MAPENZI MEMA NA NCHI HII KUPOTOSHA KWAMBA KUNA UHABA WA USD!

MATOKEO YAKE WENGI WATAPATA HOFU NA KUKUMBATIA DOLA ZAO WAKIAMINI KWAMBA KUNA TATIZO HILO NA KUFANYA DEMAND IWE KUBWA KULIKO SUPPLY HAPO SASA TATIZO LENYEWE LITAIBUKA NA SABABU KUBWA NI KUTOKANA NA UZUSHI WA MPUUZI MMOJA.

Kuna hadithi moja ya kiuchumi iliwahi kutokea ambapo raia mmoja wa kigeni alifika kwenye kijiji na kutangaza kununua nyani kwa Tshs.200,000/= wanakijiji waliwinda nyani wote na kumuuzia RAIA huyo hatimaye Nyani wakaadimika katika kijiji kile na yule RAIA alipeleka wale nyani katika kijiji kingine na kuwahifadhi na alipogundua nyani katika kijiji husika wamekwisha alipandisha dau akatangaza kununua nyani mmoja kwa Tshs.500,000/=
Wafanyabiashara wa nyani ambao tayari wamefaidika na biashara hiyo wakafunga safari kwenda kutafuta nyani nje ya kijiji chao na wakapata taarifa kwamba nyani wapo katika kijiji kingine na walipofika wakamkuta wakala akawakubalia kuwauzia kwa Tshs.300,000/= nao wakanunua kwa fujo kwa matazamio ya kuuza kwa laki tano.

Walipofika kwa mnunuzi wakiwa na mzigo wa kutosha wakapata taarifa kwamba RAIA yule mnunuzi ameamua kurudi kwao na baada ya KUFANYA utafiti ilibainika kwamba yeye ndiye aliye wauzia wale nyani ambao aliwanunua KUTOKA kwao ili kutengeza soko jipya.

SIKU ZOTE WANAOHARIBU NCHI NI WANANCHI BENK KUU YA TANZANIA JITOKEZENI TOENI ELIMU HIZI TETESI ZA UONGO ZINAMADHARA MAKUBWA KULIKOMNAVYOFIKIRIA.
 
Hazina haina mtu sahihi.
 
Back
Top Bottom