President Samia for 2025!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,335
24,230
Kuna watu wanajipigia mahesabu kugombea 2025.

Mama Samia bado ndiye best option kuendelea urais.

Stability ya kiuchumi iliyopo tusiiyumbishe, Issues zilizokuwepo bado mama amezimudu.

Kina Mwigulu, January, Mpina na hata wale wanaoenda kimyakimya kama simba mawindoni, muachieni mama Samia amalize kile alichokianza.

Sasa wale msionielewa msije niua buree, kwa hizi ndogo ndogo sina maokoto!

Mama Samia for 2025!
 
Naunga mkono kwa 101%
 
Kabisa,na wanataka eti kulazimisha Mwinyi aje Bara ,huu ni upuuzi huyo Mwinyi atatuvurugia uchumi na muelekeo mzuri wa Nchi.

Mfano Samia sio tuu ana ushawishi kwenye jumuiya ya Kimataifa Bali ana vision ya kuinua watu maskini kwenda kwenye uchumi mzuri ,sera zake mfano kwenye Kilimo na Biashara/uwekezaji zimerejesha matumaini ya watu kujiajiri kwenye biashara na Kilimo.
 
Kuna watu wanajipigia mahesabu kugombea 2025.

Mama Samia bado ndiye best option kuendelea urais.

Stability ya kiuchumi iliyopo tusiiyumbishe, Issues zilizokuwepo bado mama amezimudu.

Kina Mwigulu, January, Mpina na hata wale wanaoenda kimyakimya kama simba mawindoni, muachieni mama Samia amalize kile alichokianza.

Sasa wale msionielewa msije niua buree, kwa hizi ndogo ndogo sina maokoto!

Mama Samia for 2025!
Kabisa,na wanataka eti kulazimisha Mwinyi aje Bara ,huu ni upuuzi huyo Mwinyi atatuvurugia uchumi na muelekeo mzuri wa Nchi.

Mfano Samia sio tuu ana ushawishi kwenye jumuiya ya Kimataifa Bali ana vision ya kuinua watu maskini kwenda kwenye uchumi mzuri ,sera zake mfano kwenye Kilimo na Biashara/uwekezaji zimerejesha matumaini ya watu kujiajiri kwenye biashara na kilimo
 
Hofu ya nini?
 
Kweli kabisa mkuu.
 
Tanzania tumekuwa na kizazi Cha watu hovyo sana, Cha kusifiasifia hata UPUMBAVU. Kizazi cha kujipendekeza. Tangu Dunia iumbwe na tupate uhuru raia wa Tanzania hajawahi kushindwa kuagiza hata pikipiki ya Fekon toka China eti kisa dola hakuna benki. Imefika sehemu benki wanakuuzia mwisho $100 tu, ukitaka kuagiza chochote nje utafanyaje!?,wafanyabiashara wataagizaje bidhaa kwa style hiyo!?,ukienda nchi jirani dola zinapatikana hapa Tz zimeenda wapi!?.., halafu naingia Jamii Forums nakutana na k.enge kadhaa zipo zinasifia uchumi umeimarika, mnafahamu maana ya uchumi nyie k.enge!!??.., wakati mwingine ni busara kuficha UPUMBAVU wenu.
 
Wewe usiyekuwa MPUMBAVU WAHED ulitaka nani wae mgombea 2025?
 
Back
Top Bottom