Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vichonganishi vya CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao ambavyo vimepigiwa kelele bila mafanikio na vimetafuna hazina za nchi bila huruma na bila tija ni vifuatavyo:- 1. NIDA. 2. BIMA YA AFYA. 3. TOZO...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Nyie Chadema hizi ni siasa za wapi za kupiga watu wasio na hatia Hadi kuwavunja miguu? Ndio upinzani mnaotaka Kuijenga? Na nyie ccm kama mnatelekeza kada wenu na Mwanachama aliyekuwa anafanya...
2 Reactions
3 Replies
824 Views
Hakika naona utendaji kazi mzuri sana. Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka. 1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha...
1 Reactions
4 Replies
618 Views
Kama kichwa cha habari. Naona huu utaratibu wa mbunge kupiga kelele ' taarifa, taarifa, taarifa' una distract anayeongea. Yaani mimi huwa hata siwaelewi, unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na...
2 Reactions
5 Replies
808 Views
Na Daniel Mbowe (Kilimanjaro) Hapa kuna baadhi ya viashiria vya kawaida vinavyoweza kupelekea kuanguka kwa chama cha siasa: Utendaji wa Uchaguzi: Matokeo duni katika chaguzi, ikiwa ni pamoja na...
0 Reactions
3 Replies
857 Views
MWENEZI MAKONDA ABAINISHA KUWA SERIKALI YA CCM CHINI YA RAIS SAMIA YAIELEKEZA WIZARA YA UJENZI KUJENGA BARABARA ZA NJIA NNE - MWANZA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Huu mchezo wa siasa ni mtamu sana! Miaka zaidi ya 30 ndani ya siasa za upinzani nchini. Ni wazi kwamba CHADEMA bado haijajua jinsi ya kupanga karata zake. Badala yake tunaiona CHADEMA ikibaki...
2 Reactions
3 Replies
478 Views
Nimeona andiko kwenye Gazeti la Tanzanite kuhusiana na mimi kutokomea na shilingi bilioni moja za NSSF. Niwaondoe wasiwasi watanzania na wananchi wa Bumbuli kuwa hilo gazeti limepewa kazi ya...
104 Reactions
316 Replies
47K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya awamu ya nane imeweka kipaumbele kikubwa katika sekta ya elimu kwa kuongeza bajeti, kuimarisha...
0 Reactions
11 Replies
748 Views
Baraza Kuu Maalum la Chama cha Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, limetoa siku 30 kwa uongozi wa shirika hilo kuweka mkataba wa hali bora kwa Wafanyakazi ambao rasimu yake ilishakuwa tayari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amewahakikishia kundi maalum la wawekezaji na watalii mahiri duniani zaidi ya 150 kutoka nchini Marekani na nchi nyingine duniani...
0 Reactions
5 Replies
635 Views
ENDELEENI KUFUNGA BARABARA MAANA TUMEPEWA JUKUMU LA KUWASIKILIZA NA KUISAIDIA SERIKALI - MWENEZI MAKONDA "Kitu kimoja nimegundua hapa, hii staili yenu ya kufunga barabara mnapoona msafara wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii amewatakia kheri wahitimu wa kidato cha nne wote nchini wanaoanza mitihani yao leo Jumatatu Novemba 13 na kutarajiwa kuimaliza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kikao kimefanyika nyumbani kwa Mbowe huko Kilimanjaro. Baada ya kikao viongozi hao wamepost picha na kuweka maneno yanayoashiria kuna jambo zito lililofanyika leo. Je, kikao hiki kinahusu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mkurugenzi Ilemela amhakikishia Mwenezi Makonda ndani ya wiki mbili kukarabati eneo linalotuama maji katika stendi hiyo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM...
0 Reactions
5 Replies
857 Views
πŸ“ŒπŸ“Œ WANANCHI WA ILEMELA WASIMAMISHA MSAFARA WA MWENEZI MAKONDA KUMPA PONGEZI ZA RAIS SAMIA NA KUSIKILIZA KERO ZA STENDI YA MABASI YA NYAMONGORO Wananchi, Wafanya biashara na Wadau mbalimbali...
1 Reactions
2 Replies
763 Views
πŸ“ŒπŸ“ŒCCM YATOA MAAGIZO MATANO GEITA - MWENEZI MAKONDA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda amesema Chama Cha Mapinduzi kinatoa maagizo matano kwa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Jogoo limewika Dodoma, wabunge vijana wa CCM wenye umri chini ya miaka 45 wameanzisha umoja wao. Umoja huo umezinduliwa leo ktk Mkutano wa 13 kikao Cha 10. Manaelewa kwanini ni wenye chini ya...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Siyo kwa ushabiki wala chuki, serikali yetu, kutokana na aina ya watu ambao inakuwa nao, hakuna chochote ambacho huwa inakifanya kikawa na ufanisi. Ni serikali ambayo hata ingepewa nafasi ya...
2 Reactions
5 Replies
648 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…