Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,812
- 11,987
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East), utakaofanyika Jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 15 hadi 17, Novemba, 2023.
Wakizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Doroth Gwajima, wameeleza kuwa Mkutano huo unalenga kujadili kuhusu namna yakuwawezesha wanawake na wasichana kiuchumi na kijamii kupitia ufadhili wa usawa wa kijinsia.
Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu
Nchi zinazotarajiwa kushiriki Mkutano huo ni Tanzania, Burundi, Burkina Faso, Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo, Eritrea, Ethiopia, Guinea, Ivory coast, Nigeria, Senegal, Kenya, Liberia, Madagascar, Malawi, Msumbiji, Somalia, Afrika Kusini, Rwanda, Sudan ya Kusini, Zambia, Zimbabwe na Uganda.
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza na wanahabari kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF Afritac East), utakaofanyika jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana, kuanzia tarehe 15 hadi 17, Novemba, 2023.

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake (UN Women), Bi. Hodan Addou, akizungumza wakati wa Mkutano na wanahabari kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF Afritac East), utakaofanyika jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana, kuanzia tarehe 15 hadi 17, Novemba, 2023.
Walisema kuwa Mawaziri hao watajadili namna bora ya kushughulikia athari za mapungufu ya kijinsia katika uchumi-jumla na kuchochea ufadhili wa masuala ya usawa wa kijinsia na uwezeshaji wanawake ili kufikia malengo ya maendeleo endelevu (SDGs).
“Mkutano wa Mawaziri utaangazia hatua iliyofikiwa kwenye utekelezaji wa ahadi zilizowekwa na Jukwaa la Usawa wa Kijinsia, athari za uchumi jumla katika usawa wa kijinsia na jukumu la upangaji bajeti unaozingatia jinsia” Alisema Dkt. Nchemba.
Walisema kuwa matokeo yanayotegemewa kwenye mkutano huo wa ngazi ya juu wa Mawaziri ni uwepo wa vipaumbele vya kuharakisha usawa wa kijinsia na uwezeshaji wanawake na ahadi ya kugharamia utekelezaji kutoka kwa washiriki wa Mkutano huo.
Naye, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Doroth Gwajima, amesema kuwa ujio wa Mkutano huo unaakisi maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambayo inataka mipango ya nchi iendane na mizania ya usawa wa kijinsia.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Doroth Gwajima (Mb), akizungumza na wanahabari kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF Afritac East), utakaofanyika jijini Dar es Salaam, katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana, kuanzia tarehe 15 hadi 17, Novemba, 2023.
Mkurugenzi wa IMF - Afritac East, Xiangming LI, akizungumza wakati wa Mkutano na wanahabari kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF Afritac East), utakaofanyika jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana, kuanzia tarehe 15 hadi 17, Novemba, 2023.
Kwa upande wao, Mkurugenzi wa IMF Afritac East, Bi. Xiangming LI na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja la Wanawake (UN-Women), Bi. Hodan Addou, wameeleza kuwa mchango wa wanawake katika uchumi na maendeleo ya kijamii barani Afrika.