Katibu Mwenezi CCM Paul Makonda aagiza Taa barabarani Zifungwe Bwanga na amezuia kamatakamata ya wauza mikaa

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,399
3,916
📌📌CCM YATOA MAAGIZO MATANO GEITA - MWENEZI MAKONDA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda amesema Chama Cha Mapinduzi kinatoa maagizo matano kwa mkoa wa Geita ambayo ni;

1 Malalamiko ya Wafanyabiashara wa Mkaa Chama Cha Mapinduzi kimemtaka Mkuu wa Mkoa kuwapokea, kuwasikiliza na kuchukua hatua za utatuzi kwa wafanyabiashara hao kwa yeyote mwenye kibali na alidhulumiwa kwa kupokonywa mikaa yake na hata usafiri wake.

2 CCM inatoa siku 4 kwa TARURA hadi kufikia siku ya Jumatano tarehe 15 Mkandarasi awepo Bwanga kaa ajili ya Ujenzi wa Stendi daladala.

3 CCM yamuelekeza Waziri wa Maji Mhe. Aweso kuweka msukumo zaidi kukamilisha utekekezaji wa mradi wa Maji Bwanga kwani tayari fedha Tsh Bilioni 1.6 zimeshatolewa.

4 CCM yailekeza REA kukamilisha uwekaji wa Taa za Barabarani katika Kata ya Bwanga.

5 CCM yaitaka TARURA kuharakisha mchakato wa Ujenzi wa Barabara katika Kata ya Bwanga Wilayani Chato.

Ameyasema hayo leo tarehe 11 Novemba, 2023 wakati aliposimama na kuzungumza na Wananchi wa Kata ya Bwanga akiwa ziarani Mkoani Geita.

#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#TunaendaNaMama
 
Kwa hiyo misitu iendelee kutokomezwa na wachoma mkaa??
 
Makonda anakupasua chama
 
Uchawa mbaya Sana ndugu yangu
 
CCM inaagiza baada ya kikao au mtu mmoja Kwa nafasi yake anatoa maagizo ya kikundi kizima cha chama , ukisikia mtumbwi wa vibwengo ndiyo huu CCM wamedandia , kila la kheri Mwenezi bado kumtuma mwenyekiti wako na makamu wa Raisi tu.
 
📌📌CCM YATOA MAAGIZO MATANO GEITA - MWENEZI MAKONDA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda amesema Chama Cha Mapinduzi kinatoa maagizo matano kwa mkoa wa Geita ambayo ni;

1 Malalamiko ya Wafanyabiashara wa Mkaa Chama Cha Mapinduzi kimemtaka Mkuu wa Mkoa kuwapokea, kuwasikiliza na kuchukua hatua za utatuzi kwa wafanyabiashara hao kwa yeyote mwenye kibali na alidhulumiwa kwa kupokonywa mikaa yake na hata usafiri wake.

2 CCM inatoa siku 4 kwa TARURA hadi kufikia siku ya Jumatano tarehe 15 Mkandarasi awepo Bwanga kaa ajili ya Ujenzi wa Stendi daladala.

3 CCM yamuelekeza Waziri wa Maji Mhe. Aweso kuweka msukumo zaidi kukamilisha utekekezaji wa mradi wa Maji Bwanga kwani tayari fedha Tsh Bilioni 1.6 zimeshatolewa.

4 CCM yailekeza REA kukamilisha uwekaji wa Taa za Barabarani katika Kata ya Bwanga.

5 CCM yaitaka TARURA kuharakisha mchakato wa Ujenzi wa Barabara katika Kata ya Bwanga Wilayani Chato.

Ameyasema hayo leo tarehe 11 Novemba, 2023 wakati aliposimama na kuzungumza na Wananchi wa Kata ya Bwanga akiwa ziarani Mkoani Geita.

#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#TunaendaNaMama
mkuu tsimwonee katibu huyu anafikisha maagizo tu
 
Hivi kazi ya Waziri mkuu au Rais ni ipi?. Maana mawaziri wote wanapokea maagizo kutoka kwa Katibu Mwenezi, akiwemo Waziri Mkuu aliyepewa miezi SITA na Makonda.
 
Huyu mama akimchekea atakuwa anafanya mambo as if yeye ndo Rais wa nchi Maagizo anayotoa kama vile anawaumbua na kuwapanga wanaCCM wenye majukumu yao katika sehemu husika.
 
Back
Top Bottom