Serikali isiyoweza kuendesha hata biashara ya genge itawezaje kusimamia uchumi?

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,558
41,078
Siyo kwa ushabiki wala chuki, serikali yetu, kutokana na aina ya watu ambao inakuwa nao, hakuna chochote ambacho huwa inakifanya kikawa na ufanisi.

Ni serikali ambayo hata ingepewa nafasi ya kuendesha genge la nyanya kwenye kijiji ambacho hakina genge jingine hata moja linalouza nyanya, itashindwa.

Fikiria, wachina walitujengea reli ya kisasa kabisa kwa viwango vya wakati huo, inayotoka Dar, Tanzania mpaka Kaprimposhi, Zambia. Tulijengewa bure, lakini reli hiyo imeshindwa kujiendesha. Imekuwa ya hovyo kuanzia kwenye huduma mpaka kwenye mapato. Sasa tunaambiwa kuwa waliotujengea ndio watakaoiendesha.

Na ukweli huu upo kila sehemu ambapo Serikali inaendesha. Angalia TANESCO na hata BANDARI. Fikiria huduma za simu zilivyotapaa sasa hivi, linganusha na ule upuuzi enzi za TPTC (Posta na Simu).

Na kila mahali, jibu linakuwa ni kuwapa wageni watusaidie. Kama jibu ni hilo, badala ya kuhangaika na kitu kimoja kimoja, si tuwakabidhi hao wenye akili Serikali yote, ili watuendeshee? Kwanini tusiwe kama Reunion, waliojikabidhi kwa Wafaransa?

Réunion is simultaneously administered as a French overseas region (région d'outre-mer) whose administrative functions are carried out by a regional council that coordinates social and economic development policies. The Réunionese are full citizens of France, and French is the language of instruction in schools.

Tumenunua ndege, tukawafukuza Fastjet waliokuwa wanasafirisha watu mpaka kwa shilingi 80,000 toka Mwanza mpaka Dar, ili tuiswe na ushindani, leo ATCL kila mwaka ni hasara tupu, bei juu na huduma hovyo.

Watanzania zingatieni hili: kwa aina ya watu tulio nao Serikalini, hata hii SGR inayojengwa sasa, hapo itakapokwisha, kama uendeshaji wake utakuwa chini ya mamlaka za Serikali, wala tusitarajie lolote jema na la maana. Mizigo bado itaendelea kusafirishwa na mafuso na maFAW. Yaani mwenye mzigo ataona ni aheri atumie lorry kuliko upuuzi mwingi atakaokutana na msafirishaji wa shirika la Serikali.

Kwa ujumla Serikali yetu na CCM, ni failure wa kila eneo, kuanzia kwenye uchumi, huduma mpaka kwenye utawala bora. Chini ya utawala wa CCM, tuna uhakika wa jambo moja, Hatuwezi kufanikiwa na kuwa kinara katika jambo lolote jema la maana kwasababu sifa kubwa ya mtu kuteuliwa kuongoza taasisi yoyote ya serikali ni kuwa mnafiki wa kusifia kila jambo, liwe la kijinga au la maana, alimradi limefanywa na boss wake.

Mzizi wa matatizo yetu yote, upo kwenye aina ya watu wanaotuongoza. Bila kutatua tatizo hilo la msingi, wala tusitarajie lolote la mwanga katika maendeleo ya kweli. Tutabakia kujisifu kwa maendeleo bandia, maendeleo yasiyo na mizizi.
 
Fikiria, wachina walitujengea reli ya kisasa kabisa kwa viwango vya wakati huo, inayotoka Dar, Tanzania mpaka Kaprimposhi, Zambia. Tulijengewa bure. Lakini reli hiyo imeshindwa kujiendesha. Imekuwa ya hovyo kuanzia kwenye huduma mpaka kwenye mapato. Sasa tunaambiwa kuwa waliotujengea ndio watakaoiendesha.

Na kila mahali, jibu linakuwa ni kuwapa wageni watusaidie. Kama jibu ni hilo, badala ya kuhangaika na kitu kimoja kimoja, si tuwakabidhi hao wenye akili Serikali yote, ili watuendeshee? Kwa nini tusiwe kama Reunion, waliojikabidhi kwa Wafaransa?

Kwa ujumla Serikali yetu na CCM, ni failure wa kila eneo, kuanzia kwenye uchumi, huduma mpaka kwenye utawala bora. Chini ya utawala wa CCM, tuna uhakika wa jambo moja, HATUWEZI KUFANIKIWA NA KUWA KINARA KATIKA JAMBO LOLOTE JEMA LA MAANA. KWA SABABU SIFA KUBWA YA MTU KUTEULIWA KUONGOZA TAASISI YOYOTE YA SERIKALI NI KUWA MNAFIKI WA KUSIFIA KILA JAMBO, LIWE LA KIJINGA AU LA MAANA, ALIMRADI LIMEFANYWA NA BOSS WAKE.

Serikali ikiendesha biashara ya genge wewe utafanya kazi gani?

Ni uchumi upi unaouzungumzia wewe?

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1723011755662532677?t=A42WOv9tt6du8JJ2nV-n3A&s=19
 
Uko sahihi mkuu, serikali kwa nature ya malengo na muundo wake haiwezi kusimamia jambo linalopaswa kusimamiwa kibiashara ikafanikiwa! kuna wahuni ndani ya serikali, lengo lao si kuleta tija..ni KULA, wanaitwisha serikali mambo meeengi yasiyopaswa kufanywa na serikali ili wao wapate avenues za ULAJI..hata wawekezaji wanakwepa kuja kuwekeza Tanzania sababu serikali badala ya kuwa regulator nayo inataka iwe one of the players, sasa unajiuliza sekta binafsi inawezaje kukua na kutengeneza ajira na kuongeza mapato....

Wiki jana Rais alisafiri kwenda morocco kuhudhuria jukwaa la uwekezaji Africa (AIF) Africa Investment Forum - AIF linaloandaliwa na AfDB kimsingi jukwaa lile ni kwa ajili ya sekta binafsi kuweka miradi yao kwa ajili ya kupata financing, si kwa ajili ya miradi ya serikali! cha ajabu serikali yetu inabeba miradi mingi kupeleka kuomba ipate financing...hivi serikali haijui wapi pa kupeleka miradi yao ipate fedha?? kama kweli ni miradi mizuri..sijui ni tamaa au kutokujua, matokeo yake wanaambulia kupata ufadhili ka mradi kamoja tu! serikali iachie sekta binafsi miradi ambayo inapaswa iendeshwe kibiashara, wao hawataweza!
 
Back
Top Bottom