Tutajie Mbunge ambaye hujawahi kumsikia akichangia chochote Bungeni

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,102
Hadi wakina Msukuma na Mpina wanapata nafasi kila siku ya kuchangia kati ya wabunge 360 ni ukweli kwamba wapo wabunge wengi ambao kwao wao ubunge ni posho.

Vikao vya bunge vinaanza hadi vinamalizika hakuna siku amewahi kuchangia chochote. Wengi wao ni wabunge wa viti maalum. Swali la kujiuliza wanatumia mbinu gani kuwasiliana na waliowatuma?

Nichukue fursa hii kuomba tuwafahamu wale ambao sauti zao kuzisikia ni nadra tuweze kuwakumbusha umuhimu wa kuongea na kutusemea kunako Bunge.
 
Hivi nyie kuna jambo lolote mliwaambia hao wabunge wakaongee, wakanyamaza? Vinginevyo msiwalaumu. Si kazi yao kujizushia maneno na kusema kwa niaba ya wananchi wangu. Nyie muwaambie wakaseme nini, kama hawapatikani ilo ndio la kuzungumza.
Suala walipatikana vipi hii ni hoja ingie.
 
Hadi wakina Msukuma na Mpina wanapata nafasi kila siku ya kuchangia kati ya wabunge 360 ni ukweli kwamba wapo wabunge wengi ambao kwao wao ubunge ni posho.

Vikao vya bunge vinaanza hadi vinamalizika hakuna siku amewahi kuchangia chochote. Wengi wao ni wabunge wa viti maalum. Swali la kujiuliza wanatumia mbinu gani kuwasiliana na waliowatuma?

Nichukue fursa hii kuomba tuwafahamu wale ambao sauti zao kuzisikia ni nadra tuweze kuwakumbusha umuhimu wa kuongea na kutusemea kunako Bunge.
Ni wote maana hakuna aliyechangia cha maana
 
Back
Top Bottom