Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga?
Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)?
NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU
Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela.
Vipi ukikataa kuondoka maana ardhi ni yako watakuondoa? Kwa lazima? Milioni 6 ni ndogo Sana lakini.
Namnukuu Benjamin Netanyahu katika moja ya comment yake humu JF
"Kiwanja Dar ni shs ngapi? Yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununua kiwanja Dar? wakati hao wananchi wananunua na kujenga Serikali ya CCM ilikuwa wapi? Ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi"
by Benjamin Netanyahu