Hivi kweli Tanzania amekosekana mtu "smart" wa kuisimamia TANESCO?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,908
Sitaki kuamini serikali nzima ya Samia wamekosa mtu wa kusimamia TANESCO

Kuwapa Tanesco miezi 6 ya matengenezo ni ukichaa tu kama ukichaa mwingine tu

Mnatengeneza nini miezi 6? Hii nchi ina laana gani?

Kwahiyo tutateseka na mamigao ya kipumbavu hadi march?Kuliko kututesa hivi si mzime maumeme yenu tu tuishi bila umeme hadi march?Nyie vp bhana?

Huwa napata hamu ya kupatika nikisikia jina la mtu likitajwa kuwa anaupiga mwingi

Ccm mzma wamekosekana mtu wa maana wa kuwekwa wizara ya nishati??Halaf nacho ni chama??

Kwa tulipofika tu naomba Tanzania iruhusu kama Marekani tu kila raia amiliki silaha za moto tu kirahisi bila masharti yoyote maana inaonekana hii nchi imegeuka ya kikundi cha wachache tu

Serikali ya Mama washatujua sijui?Mnakumbuka Makamba alivyoingia makamba alianza na ajenda ya matengenezo tu.

Kila mara anafanya matengenezo ya mabilioni mara akaja akasema wanahitaji kufumua Grid akapewa trilioni 1.2 ya kufumua Grid akiahidi mambo ndo yatakua mazuri na tatzo litakua limeisha, zilienda wapi hizo pesa?Ni matengenezo gani wanafanya hawa watu tokea Samia apewe nchi?

Matrilioni ya matengenezo maharage na Makamba walikua wanapeleka wapi?Kwanini wakati wa JPM umeme usikatike then ghafla wakati wa Hangaya uanze kukatika?Watasema mitambo ilikua mibovu haikufanyiwa ukarabati sasa iweje iwe mibovu ghafla tu baada ya makamba kupewa wizara?

Zambia wapo milioni 19 wana Megawatts 3000+ na mwaka 2024 watakua na megawatts nyingine 2000

Kenya wana megawatts karibia 3500+

Msumbiji wapo milioni 30 tu lakini wana megawatts 187000

Sisi tupo milioni 62 eti megawatts 1500 hivi ccm wapo serious kweli?

Nikipata uraia wa nchi zilizoendelea huko na familia yangu nipo tayar kuukana uraia wa hii nchi tu kwasababu kuwa mtanzania hakuna faida yoyote
 
Tanesco hata apatiwe malaika bado changamoto zake haziwezi kutatuliwa kwa haraka.

Shida sio uongozi, shida ni miundombinu hasa upatikanaji wa umeme wa kutosha.

Sisi kama Watanzania hatukuwekeza kwneye vyanzo vipya vya umeme kwa miaka mingi sana na matatizo ya umeme yamekua yakitatuliwa kwa hati za dharula, hakuna mpango endelevu wa kuongeza vyanzo vya umeme.

Kwa mfano, Nyerere alijenga mabwawa kadhaa, Mwinyi alijenga mambwawa mangapi?

Mkapa yeye nadhani alijenga Kihansi tu huku shirika akiwapatia wale jamaa wa Net Group.

Kikwete alipoingia akataka kutumia dharula kupambana na umeme, ndio tunaona kina Dowans na wengineo.

Ukija Magufuli yeye ndio akaamua kujenga bwawa la mwalimu Nyerere.

So kwa miaka kama 30 tumekua tukidema dema hakuna cha maana huku mahitaji na watu wakiongezeka kwa kasi kubwa.

Angalia nchi kama Zambia, nchi ina watu milioni 20 lakini inazalisha umeme megawati 3700+ huku Tanzania yenye watu milioni 62 ikiwa na Megawati 1600, hii si aibu?

Hat mwalimu Nyerere ikikamilika bado itakua ni Short time solution, inahitajika long term solution kwa kuwekeza zaidi kwenye umeme.
 
Sitaki kuamini serikali nzima ya Samia wamekosa mtu wa kusimamia TANESCO

Kuwapa Tanesco miezi 6 ya matengenezo ni ukichaa tu kama ukichaa mwingine tu

Mnatengeneza nini miezi 6? Hii nchi ina laana gani?

Kwahiyo tutateseka na mamigao ya kipumbavu hadi march?Kuliko kututesa hivi si mzime maumeme yenu tu tuishi bila umeme hadi march?Nyie vp bhana?

Huwa napata hamu ya kupatika nikisikia jina la mtu likitajwa kuwa anaupiga mwingi

Ccm mzma wamekosekana mtu wa maana wa kuwekwa wizara ya nishati??Halaf nacho ni chama??

Kwa tulipofika tu naomba Tanzania iruhusu kama Marekani tu kila raia amiliki silaha za moto tu kirahisi bila masharti yoyote maana inaonekana hii nchi imegeuka ya kikundi cha wachache tu

Nikipata uraia wa nchi zilizoendelea huko na familia yangu nipo tayar kuukana uraia wa hii nchi tu kwasababu kuwa mtanzania hakuna faida yoyote
Unafikiri ni mtu smart Bas anahitajika!!?

Kama taifa tumeamua kufanya Biashara kwenye Taasisi za kutoa huduma yaani tuna favor soko la Bidhaa za watu Binafsi kwa kuhujumu Miundombinu ya umma!yaani Biashara na uwekezaji uchwara!!
 
Kikwete alijenga mitambo ya gesi, tukaahidiwa kuwa hilo linaweza kuwa suluhishi la kudumu zaidi, lakini Magufuli alipokuja badala ya kuendeleza awamu za umeme wa gesi ambao ni nafuu zaidi, yeye akaanzisha tena li mradi la bwawa, litakalokuja kukauka tena na kuturudisha kule kule kwa zamani.

Anayefanya teuzi ni mwenyekiti wa chama cha mazwazwa
 
Tanesco ni bomu linalosubiri kulipuka. Tulipofikia kuna hujuma za wazi zinafanyika ili kulifilisi hilo shirika , lionekane haliwezi kazi , kama ilivyofanyika kwa TTCL. Tunakoelekea wakubwa wa ccm wataleta udalali kwenye kampuni binafsi za kusambaza umeme kama walivyokuwa madalali kwenye kampuni za simu binafsi, refer Rostam Aziz na vodacom. In short hii nchi inapigwa mno na wanasiasa, mbaya zaidi watanzania ni kama wamerogwa ni wagumu mno kuwawajibisha viongozi ndo maana viongozi wanatuchukulia poa tu. Hata bandari ilihujumiwa na wanasiasa ionekane haiwezi kazi ili wafanye udalali wa kuleta wawekezaji ( DP World).
 
Sitaki kuamini serikali nzima ya Samia wamekosa mtu wa kusimamia TANESCO

Kuwapa Tanesco miezi 6 ya matengenezo ni ukichaa tu kama ukichaa mwingine tu

Mnatengeneza nini miezi 6? Hii nchi ina laana gani?

Kwahiyo tutateseka na mamigao ya kipumbavu hadi march?Kuliko kututesa hivi si mzime maumeme yenu tu tuishi bila umeme hadi march?Nyie vp bhana?

Huwa napata hamu ya kupatika nikisikia jina la mtu likitajwa kuwa anaupiga mwingi

Ccm mzma wamekosekana mtu wa maana wa kuwekwa wizara ya nishati??Halaf nacho ni chama??

Kwa tulipofika tu naomba Tanzania iruhusu kama Marekani tu kila raia amiliki silaha za moto tu kirahisi bila masharti yoyote maana inaonekana hii nchi imegeuka ya kikundi cha wachache tu

Nikipata uraia wa nchi zilizoendelea huko na familia yangu nipo tayar kuukana uraia wa hii nchi tu kwasababu kuwa mtanzania hakuna faida yoyote
Mtafute Makonda atakuelewa! MaCCM yote majizi
 
Matatizo ya Taneso hayataweza kuisha kwa sababu kuu mbili. Matatizo sio wakurugenzi ni mfumo na hasa haya mawili
1. Mkurugenzi na bodi zinachaguliwa na wanasiasa
2. Wezi na walarushwa wa Tanesco ni wanasiasa.
 
Nikipata uraia wa nchi zilizoendelea huko na familia yangu nipo tayar kuukana uraia wa hii nchi tu kwasababu kuwa mtanzania hakuna faida yoyote
Halafu cha kushangaza sana kuhusu nchi hii, mtu huyu huyu si ajabu siku mbili tatu ukasikia na yeye ni "CHAWA" anayefyonza uchafu toka kwa mtu ambaye akitajwa jina na kusemwa anaupiga mwingi!

Haya ndiyo maajabu ya nchi yetu hii!

Tulizana mkuu 'kimsboy', kuukana uTanzania siyo suluhisho la matatizo yako. Ni kama unakubali kuwakabidhi hati miliki ya Tanzania yetu hao wanao kuvuruga akili kiasi hiki.
Kuukana uTanzania wako ni kuwapa ushindi wasio ustahili hao washenzi.
 
Unafikiri ni mtu smart Bas anahitajika!!?

Kama taifa tumeamua kufanya Biashara kwenye Taasisi za kutoa huduma yaani tuna favor soko la Bidhaa za watu Binafsi kwa kuhujumu Miundombinu ya umma!yaani Biashara na uwekezaji uchwara!!
Mimi nakuelewa vizuri sana unalo sema hapa.
 
Sitaki kuamini serikali nzima ya Samia wamekosa mtu wa kusimamia TANESCO

Kuwapa Tanesco miezi 6 ya matengenezo ni ukichaa tu kama ukichaa mwingine tu

Mnatengeneza nini miezi 6? Hii nchi ina laana gani?

Kwahiyo tutateseka na mamigao ya kipumbavu hadi march?Kuliko kututesa hivi si mzime maumeme yenu tu tuishi bila umeme hadi march?Nyie vp bhana?

Huwa napata hamu ya kupatika nikisikia jina la mtu likitajwa kuwa anaupiga mwingi

Ccm mzma wamekosekana mtu wa maana wa kuwekwa wizara ya nishati??Halaf nacho ni chama??

Kwa tulipofika tu naomba Tanzania iruhusu kama Marekani tu kila raia amiliki silaha za moto tu kirahisi bila masharti yoyote maana inaonekana hii nchi imegeuka ya kikundi cha wachache tu

Nikipata uraia wa nchi zilizoendelea huko na familia yangu nipo tayar kuukana uraia wa hii nchi tu kwasababu kuwa mtanzania hakuna faida yoyote

Wapo watu smart lakini hawapewi hiyo nafasi
 
ni katika utulivu unaweza kutafakari na kupata muafaka mwema na wa amani katika jambo linalotatiza, na katika hasira, ghadhabu na mihemko waweza ishia penye maumivu na madhara yakukudhuru mwenyewe.

Ni Jambo la subra na ustahimilivu kidogo tu, everything thing to confront the matter is on the table, kazi ya kuhuisha mtandao chakavu wa umeme nchi nzima imeanza kwa kasi sana. Na kwa muda uliobainishwa ni hakika kazi hiyo muhimu itakua imekamilika.

Ni hakika dhahama na kadhia za umeme zilizopo nchini zitaisha.
Pamoja na hayo, mitambo mikubwa na midogo ya kufua na kuzalisha umeme nchini itakarabatiwa na kuboresha ili kuwa na uhakika zaidi wa huduma hii...

Bongo sihami ndio mpango mzima..
 
Sitaki kuamini serikali nzima ya Samia wamekosa mtu wa kusimamia TANESCO

Kuwapa Tanesco miezi 6 ya matengenezo ni ukichaa tu kama ukichaa mwingine tu

Mnatengeneza nini miezi 6? Hii nchi ina laana gani?

Kwahiyo tutateseka na mamigao ya kipumbavu hadi march?Kuliko kututesa hivi si mzime maumeme yenu tu tuishi bila umeme hadi march?Nyie vp bhana?

Huwa napata hamu ya kupatika nikisikia jina la mtu likitajwa kuwa anaupiga mwingi

Ccm mzma wamekosekana mtu wa maana wa kuwekwa wizara ya nishati??Halaf nacho ni chama??

Kwa tulipofika tu naomba Tanzania iruhusu kama Marekani tu kila raia amiliki silaha za moto tu kirahisi bila masharti yoyote maana inaonekana hii nchi imegeuka ya kikundi cha wachache tu

Nikipata uraia wa nchi zilizoendelea huko na familia yangu nipo tayar kuukana uraia wa hii nchi tu kwasababu kuwa mtanzania hakuna faida yoyote

Tatizo la tanzania sio Akili ni “Greedy”

Greedy always overpass smartness
 
TANESCO ni gari bovu la serikali, hata ukimleta dereva mahiri bado ni spana mkononi.
 
Kikwete alijenga mitambo ya gesi, tukaahidiwa kuwa hilo linaweza kuwa suluhishi la kudumu zaidi, lakini Magufuli alipokuja badala ya kuendeleza awamu za umeme wa gesi ambao ni nafuu zaidi, yeye akaanzisha tena li mradi la bwawa, litakalokuja kukauka tena na kuturudisha kule kule kwa zamani.
Mkuu aliekwambia gesi ni nafuu amekudanganya sana, sana.

Unafuu wa gesi uko kwenye installation, yaani kusimika mitambo yake inachukua muda mfupi tu. Kwa mfano kama unataka umeme wa megawati 300 unaweza kuupata ndani ya miaka 2 tu.

Ila ukweli ni kwamba gesi sio rahisi, ukiweka mizania ya ulinganifu gesi inakaribiana na mafuta mazito.

Uendeshaji wa mitambo ya gesi ni ghari sana. Real ama actual cost ya kuendesha mitambo ya gesi kwa ujumla wake ni ghali sana na ni kubwa sana.

Umeme wa gesi unatakiwa kuwepo lakini sio kama base load bali peak load. Yaani unaitumia pale umeshaanza kutumia vyanzo vingine vyote vimeisha sasa ndio unatumia ama unawasha ya gesi, kama hakuna ulazima unaachana nayo. Soma economic dispatch order.
 
Back
Top Bottom