Maisha ya Rais Samia hapa Duniani yameleta Nuru kwa mamilioni ya Watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,262
9,715
Ndugu zangu Watanzania,

Kuna watu wamezaliwa na kuwepo hapa Duniani kama vyombo vitumiwavyo na Mwenyezi Mungu kuvusha,kuponya,kuokoa,kufuta machozi, kufariji na kuwapa matumaini watu wake.kuna watu Mungu yupo ndani yao na aliwaumba kwa makusudi maalumu na anaendelea kuwalinda na kuwainua ili kupitia wao waweze kuwafikia watu wake wenye mahitaji na kuhitaji msaada ambao wanakuwa wakikesha wakimlilia Mungu wao.

Maisha ya Rais Samia hapa Duniani yameleta nuru kwa mamilioni ya watanzania,amekuwa ni kiongozi ambaye amegusa maisha ya wengi,amesaidia wengi na wengi wamepata matumaini kupitia yeye na serikali yake. Rais samia amewavusha na kuwashika mkono wengi,amegusa maisha ya wakulima, watumishi wa umma, vijana,akina mama,wazee , wafanyabishara na makundi mbalimbali ambayo kwa sasa kila mmoja anaiona nuru machoni pake.

Kuna familia zilikuwa hazina uwezo wa kusomesha watoto wao kutokana na kushindwa kulipa ada ,lakini Rais samia amewapa nuru kutoka katika hali ya kukata Tamaa baada ya kuamua Elimu kuwa bure mpaka kidato cha sita huku mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ikiwa inatolewa kwa wote wenye sifa, pamoja na wale wa stashahada takribani wanafunzi 8000 wana gharamiwa na serikali yao.

Ni Rais samia ameboresha huduma za afya na kusogeza karibu kabisa na wananchi,kutoa maelfu ya ajira kwa vijana waliokuwa wamekata tamaa. Ni kiongozi na mama ambaye kwa mikono yake amegusa kila sehemu,kumfikia kila mmoja na kumpa matumaini kila mtu. Hakuna unapoweza kusema hajafika au kutoweka mikono yake.hakuna unapoweza kusema kuwa amebagua au kutopajali.amefanya kwa kadri ya hali yetu ya uchumi, amefanya kwa kadri ya mahitaji yetu watanzania,amefanya kulingana na wakati na mabadiliko yake.

Hii ndio maana kila unakokwenda unaona miradi ya maendeleo ikiendelea kujengwa kwa kasi,unaona shule,vituo vya afya,zahanati, vyumba vya madarasa,nyumba za watumishi wa umma,barabara za mitaa zikijengwa kwa kasi na kuwashirikisha vijana ambao wanajipatia pesa kupitia miradi hiyo. Ni wakati huu unaona hata watu binafsi tu wakijenga miradi ya kila aina mitaani.ukipita huku unakuta watu binafsi wakijenga sheli, wengine hotel, wengine nyumba za kupangisha ,wengine shule na hospitali,wengine vyumba vya biashara,wengine unakuta wanainua majengo kwa ajili ya kuhifadhia bidhaa zao.

Mitaani ni pilikapilika tu kutokana na Rais samia kuufungua uchumi wetu na kufanya kila shughuli aifanyayo mtanzania kuleta matokeo chanya na matunda. Awe mkulima au mfanyabiashara au mtumishi wa umma au mjasiriamali au mfugaji anaona tija na kupata matokeo ya kazi ya mikono yake nakuona kuwa hapotezi nguvu bure bali kuna matunda ya kazi yake.

Hii yote ni kwa sababu ya Rais samia kuhitaji kuona Watanzania wanasonga mbele na kupata mafanikio,hataki kumshika mtu miguu au kumkwamisha au kumuwekea vizingiti .anataka aliye juu aendelee kusonga mbele. Lakini pia aliye chini anamuwezesha kupanda juu na kulifanya Taifa kuwa na uchumi shirikishi na jumuishi usio na tofauti kubwa kati ya walionacho na wasionacho.ndio maana anapeleka pesa kila mahali na miradi kila sehemu, ndio maana anatafuta wawekezaji kila leo watakao ongeza fursa hapa nchini.

Huo ndio uongozi na hiyo ndiyo kazi ya kiongozi anayejua wajibu wake kwa watu wake na raia wake. Afanyacho Rais Samia ndicho Watanzania walichokuwa wanakihitaji na kukitarajia kutoka kwake. ndio maana wanaendelea kumuunga mkono mh Rais.

Kazi ya uongozi siyo kuwakomoa watu au kuwatisha watu au kuwakatisha Tamaa au kuwawekea vikwazo vya kazi au kuwadidimiza au kuwanyonya au kuwaburuza au kuwabubujisha machozi au kuwafirisi kwa mabavu au kuwapora mali na fedha zao kwa ubabe na vitisho tu.

Kazi ya kiongozi na serikali yake ni kuweka mazingira wezeshi kwa kila mtu kufanya kazi kwa uhuru,ni kuwasaidia watu, ni kuwashika mkono na kuwainua watu,ni kuwapa matumaini na faraja watu, ni kuwafariji na kuwatia moyo, ni kuongoza njia mahali panaponekana hapawezekani, ni kuwapa ujasiri, ni kuwaonyesha kuwa inawezekana kwa taifa lote kujaa matajiri na wenye kipato cha kati,kuwaonyesha kuwa nchi ni yao na wao ndio wenye nchi.

uongozi ni kuwa msikivu kwa kufahamu kuwa ukiwa kiongozi haimaanishi kuwa una akili kuliko watu wote bali kutambua kuwa kiongozi inakupa nafasi ya kutumia akili zote kubwa ndani ya nchi kwa maslahi mapana ya nchi na Taifa kwa ujumla wake kwa kuunganisha mawazo ya wote.uongozi ni kusikiliza watu wanataka nini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Kuna familia zilikuwa hazina uwezo wa kusomesha watoto wao kutokana na kushindwa kulipa ada ,lakini Rais samia amewapa nuru kutoka katika hali ya kukata Tamaa baada ya kuamua Elimu kuwa bure mpaka kidato cha sita huku mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ikiwa inatolewa kwa wote wenye sifa.

Ni Rais samia ameboresha huduma za afya na kusogeza karibu kabisa na wananchi,kutoa maelfu ya ajira kwa vijana waliokuwa wamekata tamaa. Ni kiongozi na mama ambaye kwa mikono yake amegusa kila sehemu,kumfikia kila mmoja na kumpa matumaini kila mtu. Hakuna unapoweza kusema hajafika au kutoweka mikono yake.hakuna unapoweza kusema kuwa amebagua au kutopajali.amefanya kwa kadri ya hali yetu ya uchumi, amefanya kwa kadri ya mahitaji yetu watanzania,amefanya kulingana na wakati na mabadiliko yake.

Hii ndio maana kila unakokwenda unaona miradi ya maendeleo ikiendelea kujengwa kwa kasi,unaona shule,vituo vya afya,zahanati, vyumba vya madarasa,nyumba za watumishi wa umma,barabara za mitaa zikijengwa kwa kasi na kuwashirikisha vijana ambao wanajipatia pesa kupitia miradi hiyo. Ni wakati huu unaona hata watu binafsi tu wakijenga miradi ya kila aina mitaani.ukipita huku unakuta watu binafsi wakijenga sheli, wengine hotel, wengine nyumba za kupangisha ,wengine shule na hospitali,wengine unakuta wanainua majengo kwa ajili ya kuhifadhia bidhaa zao.

Mitaani ni pilikapilika tu kutokana na Rais samia kuufungua uchumi wetu na kufanya kila shughuli aifanyayo mtanzania kuleta matokeo chanya. Awe mkulima au mfanyabiashara au mtumishi wa umma au mjasiriamali au mfugaji anaona tija na kupata matokeo ya kazi ya mikono yake nakuona kuwa hapotezi nguvu bure bali kuna matunda ya kazi yake.

Hii yote ni kwa sababu ya Rais samia kuhitaji kuona Watanzania wanasonga mbele na kupata mafanikio,hataki kumshika mtu miguu au kumkwamisha au kumuwekea vizingiti .anataka aliye juu aendelee kusonga mbele. Lakini pia aliye chini anamuwezesha kupanda juu na kulifanya Taifa kuwa na uchumi shirikishi na jumuishi usio na tofauti kubwa kati ya walionacho na wasionacho.ndio maana anapeleka pesa kila mahali na miradi kila sehemu, ndio maana anatafuta wawekezaji kila leo watakao ongeza fursa hapa nchini.

Huo ndio uongozi na hiyo ndiyo kazi ya kiongozi anayejua wajibu wake kwa watu wake na raia wake. Afanyacho Rais Samia ndicho Watanzania walichokuwa wanakihitaji na kukitarajia kutoka.ndio maana wanae kumuunga mkono mh Rais.

Kazi ya uongozi siyo kuwakomoa watu au kuwatisha watu au kuwakatisha Tamaa au kuwawekea vikwazo vya kazi au kuwadidimiza au kuwanyonya au kuwaburuza au kuwaliza machozi au kuwafirisi kwa mabavu au kuwapora mali na fedha zao kwa ubabe na vitisho tu.

Kazi ya kiongozi na serikali yake ni kuweka mazingira wezeshi kwa kila mtu kufanya kazi kwa uhuru,ni kuwasaidia watu, ni kuwashika mkono na kuwainua watu,ni kuwapa matumaini na faraja watu, ni kuwafariji na kuwatia moyo, ni kuongoza njia mahali panaponekana hapawezekani, ni kuwapa ujasiri, ni kuwaonyesha kuwa inawezekana kwa taifa lote kujaa matajiri na wenye kipato cha kati,kuwaonyesha kuwa nchi ni yao na wao ndio wenye nchi.
Naunga mkono hoja 👍
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuna watu wamezaliwa na kuwepo hapa Duniani kama vyombo vitumiwavyo na Mwenyezi Mungu kuvusha,kuponya,kuokoa,kufuta machozi, kufariji na kuwapa matumaini watu wake.kuna watu Mungu yupo ndani yao na aliwaumba kwa makusudi maalumu na anaendelea kuwalinda na kuwainua ili kupitia wao waweze kuwafikia watu wake wenye mahitaji na kuhitaji msaada ambao wanakuwa wakikesha wakimlilia Mungu wao.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Naunga mkono hoja
P
 
Lucas ww si bure nahis ukiwa chooni unawaza samia ukiwa unakula unawza samia unashida gani ww kijan?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuna watu wamezaliwa na kuwepo hapa Duniani kama vyombo vitumiwavyo na Mwenyezi Mungu kuvusha,kuponya,kuokoa,kufuta machozi, kufariji na kuwapa matumaini watu wake.kuna watu Mungu yupo ndani yao na aliwaumba kwa makusudi maalumu na anaendelea kuwalinda na kuwainua ili kupitia wao waweze kuwafikia watu wake wenye mahitaji na kuhitaji msaada ambao wanakuwa wakikesha wakimlilia Mungu wao.

Maisha ya Rais Samia hapa Duniani yameleta nuru kwa mamilioni ya watanzania,amekuwa ni kiongozi ambaye amegusa maisha ya wengi,amesaidia wengi na wengi wamepata matumaini kupitia yeye na serikali yake. Rais samia amewavusha na kuwashika mkono wengi,amegusa maisha ya wakulima, watumishi wa umma, vijana,akina mama,wazee , wafanyabishara na makundi mbalimbali ambayo kwa sasa kila mmoja anaiona nuru machoni pake.

Kuna familia zilikuwa hazina uwezo wa kusomesha watoto wao kutokana na kushindwa kulipa ada ,lakini Rais samia amewapa nuru kutoka katika hali ya kukata Tamaa baada ya kuamua Elimu kuwa bure mpaka kidato cha sita huku mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ikiwa inatolewa kwa wote wenye sifa, pamoja na wale wa stashahada takribani wanafunzi 8000 wana gharamiwa na serikali yao.

Ni Rais samia ameboresha huduma za afya na kusogeza karibu kabisa na wananchi,kutoa maelfu ya ajira kwa vijana waliokuwa wamekata tamaa. Ni kiongozi na mama ambaye kwa mikono yake amegusa kila sehemu,kumfikia kila mmoja na kumpa matumaini kila mtu. Hakuna unapoweza kusema hajafika au kutoweka mikono yake.hakuna unapoweza kusema kuwa amebagua au kutopajali.amefanya kwa kadri ya hali yetu ya uchumi, amefanya kwa kadri ya mahitaji yetu watanzania,amefanya kulingana na wakati na mabadiliko yake.

Hii ndio maana kila unakokwenda unaona miradi ya maendeleo ikiendelea kujengwa kwa kasi,unaona shule,vituo vya afya,zahanati, vyumba vya madarasa,nyumba za watumishi wa umma,barabara za mitaa zikijengwa kwa kasi na kuwashirikisha vijana ambao wanajipatia pesa kupitia miradi hiyo. Ni wakati huu unaona hata watu binafsi tu wakijenga miradi ya kila aina mitaani.ukipita huku unakuta watu binafsi wakijenga sheli, wengine hotel, wengine nyumba za kupangisha ,wengine shule na hospitali,wengine vyumba vya biashara,wengine unakuta wanainua majengo kwa ajili ya kuhifadhia bidhaa zao.

Mitaani ni pilikapilika tu kutokana na Rais samia kuufungua uchumi wetu na kufanya kila shughuli aifanyayo mtanzania kuleta matokeo chanya na matunda. Awe mkulima au mfanyabiashara au mtumishi wa umma au mjasiriamali au mfugaji anaona tija na kupata matokeo ya kazi ya mikono yake nakuona kuwa hapotezi nguvu bure bali kuna matunda ya kazi yake.

Hii yote ni kwa sababu ya Rais samia kuhitaji kuona Watanzania wanasonga mbele na kupata mafanikio,hataki kumshika mtu miguu au kumkwamisha au kumuwekea vizingiti .anataka aliye juu aendelee kusonga mbele. Lakini pia aliye chini anamuwezesha kupanda juu na kulifanya Taifa kuwa na uchumi shirikishi na jumuishi usio na tofauti kubwa kati ya walionacho na wasionacho.ndio maana anapeleka pesa kila mahali na miradi kila sehemu, ndio maana anatafuta wawekezaji kila leo watakao ongeza fursa hapa nchini.

Huo ndio uongozi na hiyo ndiyo kazi ya kiongozi anayejua wajibu wake kwa watu wake na raia wake. Afanyacho Rais Samia ndicho Watanzania walichokuwa wanakihitaji na kukitarajia kutoka kwake. ndio maana wanaendelea kumuunga mkono mh Rais.

Kazi ya uongozi siyo kuwakomoa watu au kuwatisha watu au kuwakatisha Tamaa au kuwawekea vikwazo vya kazi au kuwadidimiza au kuwanyonya au kuwaburuza au kuwabubujisha machozi au kuwafirisi kwa mabavu au kuwapora mali na fedha zao kwa ubabe na vitisho tu.

Kazi ya kiongozi na serikali yake ni kuweka mazingira wezeshi kwa kila mtu kufanya kazi kwa uhuru,ni kuwasaidia watu, ni kuwashika mkono na kuwainua watu,ni kuwapa matumaini na faraja watu, ni kuwafariji na kuwatia moyo, ni kuongoza njia mahali panaponekana hapawezekani, ni kuwapa ujasiri, ni kuwaonyesha kuwa inawezekana kwa taifa lote kujaa matajiri na wenye kipato cha kati,kuwaonyesha kuwa nchi ni yao na wao ndio wenye nchi.

uongozi ni kuwa msikivu kwa kufahamu kuwa ukiwa kiongozi haimaanishi kuwa una akili kuliko watu wote bali kutambua kuwa kiongozi inakupa nafasi ya kutumia akili zote kubwa ndani ya nchi kwa maslahi mapana ya nchi na Taifa kwa ujumla wake kwa kuunganisha mawazo ya wote.uongozi ni kusikiliza watu wanataka nini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Mshamba ww hata uweke cm hupayi teuzi kma mwenzako mayala
 
CCM wenzio wanakuona debe tupu.
 
Mbona wananchi wapo taabani kwa ufukara
Kikubwa ni kufanya kazi kwa bidii juhudi na maarifa.kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa kila mtu kunufaika nayo kulingana na kazi anayoifanya.ndio maana serikali ya Rais samia inaweka sera na sheria ambazo zinamuwezesha na kumsaidia mtanzania kuinuka kiuchumi na kupiga hatua za kimaendeleo.ndio maana unaona serikali ikitoa Ruzuku mabilioni kwa mabilioni katika pembejeo za kilimo hasa mbolea ili kumsaidia mkulima mnyonge kumudu bei na kuongeza uzalishaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom