Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 741
- 479
Rais wa Romania Mhe. Klaus lohannis amewasili Zanzibar kwa ziara ya siku moja katika mwendelezo wa ziara yake ya siku tatu nchini Tanzania kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Bandarini Malindi amepokelewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Ikulu Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali pia na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa na viongozi wengine wa Serikali.