Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI

Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku kwetu kwenye upinzani

Hakuna mtu yuko tayari kumwambia kiongozi wake kwamba anayoyafanya hayako sawa, hatuna hata mgambo lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani, tunaogopana kuambiana ukweli, sisi na CCM hatuna tofauti kabisa.

Najiuliza kwanini wapinzani tunashindwa kuonyesha msimamo?

kwanini twende kushiriki uchaguzi bila katiba mpya?

Nilishasema kuna biashara ya Demokrasia inafanyika hapa nchini"

Chanzo : Jambo Tv
 
Ni kweli anachosema Adv. Mwabukusi, siasa zetu kwa kiasi kikubwa zimegeuzwa kuwa ajira, na wala sio kuwatumikia wananchi kama walivyozoea kutudanganya.

Ndio maana unawaona wale wanawake 19 bado wako bungeni mpaka leo bila aibu yoyote, wanakula bure kodi za watanganyika, huku ajabu wakiwa bungeni nao wanajidai kulaani upotevu wa fedha serikalini, wao hawajioni!..

Huku wengine nao wameshasahau kama msimamo wa chama chao ni kutoshiriki uchaguzi, mpaka Katiba Mpya ipatikane, wao wameshaanza kusema watahakikisha wanawaondoa wabunge wa CCM majimboni mwao, hii kauli ni sawa na tusi kwa mtu mwenye spirit ya Adv. Mwabukusi.

Wapiga kura tunageuzwa mtaji wa wanasiasa bila kujua, sometime tuna siasa za kisanii sana, za kupitisha muda ili wale na familia zao, kwa wale walioupata utajiri kupitia siasa, kamwe hawawezi kuuacha uchaguzi upite mpaka waisubiri Katiba Mpya ipatikane.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI

Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku kwetu kwenye upinzani

Hakuna mtu yuko tayari kumwambia kiongozi wake kwamba anayoyafanya hayako sawa, hatuna hata mgambo lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani, tunaogopana kuambiana ukweli, sisi na CCM hatuna tofauti kabisa.

Najiuliza kwanini wapinzani tunashindwa kuonyesha msimamo?

kwanini twende kushiriki uchaguzi bila katiba mpya?

Nilishasema kuna biashara ya Demokrasia inafanyika hapa nchini"

Chanzo : Jambo Tv
Huyu jamaa huyu, eti alikuwa anatoa amri na kuipa serikali masaa fulani, tulimwambia hatoboi, aka akabaki kutukana matusi tu na kupayuka, sasa tena .na wenzake ni wabaya!!
 
Ni kweli anachosema Adv. Mwabukusi, siasa zetu kwa kiasi kikubwa zimegeuzwa kuwa ajira na wala sio kuwatumikia wananchi, huu ndio ukweli.

Ndio maana unawaona wale wanawake 19 bado wako bungeni mpaka leo bila aibu yoyote, wanakula bure kodi za watanganyika huku ajabu wakiwa bungeni nao wanajidai kulaani upotevu wa fedha serikalini!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mwabukusi angeanzisha chama chake cha siasa, halafu wafuasi kama nyie mkamuunga mkono, mtafika mbali
 
Aiseee hii misumari ya wakili ni hatari sana! Lakini nikiri kuwa Tundu Lissu ni mmoja ya kiongozi ambaye ameweka wazi kuwa hawatokubali kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya !
Lakini kibaya zaidi Tundu Lissu anapingwa na wanachama wenzie…
Kwa majira haya Lissu hakupaswa kuwa CHADEMA
Mbowe hana nia ya dhati kwasasa kuinua upinzani.

Bora hata Lema alimchana kuwa asiwaamini ccm
 
HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI

Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku kwetu kwenye upinzani

Hakuna mtu yuko tayari kumwambia kiongozi wake kwamba anayoyafanya hayako sawa, hatuna hata mgambo lakini nakuhakikishia sisi wapinzani ni wabaya kuliko hawa walioko madarakani, tunaogopana kuambiana ukweli, sisi na CCM hatuna tofauti kabisa.

Najiuliza kwanini wapinzani tunashindwa kuonyesha msimamo?

kwanini twende kushiriki uchaguzi bila katiba mpya?

Nilishasema kuna biashara ya Demokrasia inafanyika hapa nchini"

Chanzo : Jambo Tv
Yuko sahihi kabisa ,simpingi
 
Wewe na mkeo (kama unaye) huwa mnakubaliana kila kitu? Hao unaosema wapinzani kuna matoleo kadhaa kuanzia upinzani uliojengeka kwa misingi ya dini, dhehebu, kabila, vyama binafsi vya watu, maslahi binafsi, maslahi ya taifa nk kama wanaharakati walivyo na mirengo tofauti : feminism, usboga, vijana, dini nk. Hivyo haiwezekani wote wakawa na msimamo mmoja kwa kila jambo. Pia sio suala la kulaumu kwani kila mtu anatumia uhuru wake atakavyo mradi havunji sheria.

Hata mtu au chama kijifanye wajanja lakini mwisho wa siku kuzungumza na serikali hakuepukiki ikiwa unataka kupush ajenda ambayo mtu anadhani ina manufaa kwa nchi. Yeye zMwabukusi wacha ajidanganye kiwa anaweza kulazimisha anachotaka yeye ndicho hicho hicho kitimizwe tena na serikali iliyopo madarakani.
 
Slaa anamdanganya sana huyu jamaa
Kwenye maisha hamnaga short-cut hasa kwenye mambo yanayohusu itikadi kama siasa

Kama anajiamini aanzishe chama chake asitake kutumia watu kama mgongo wa kufikia malengo yake maisha sio marahisi hivyo yaani chadema waache agenda zake wamfuate yeye mbona ni kituko na kichekesho
 
Back
Top Bottom