Sokoine alipambana na Rushwa kwa Falsafa ya Wahujumu Uchumi, hakufanikiwa
Mwinyi akaja na Rukhsa akiamini Watu watajiheshimu, aah wapi
Mkapa akaja na Takukuru na baadae Takukuru
JK akaingia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2023.
Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili.
Nimeenda...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akutana na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya Nje na Bunge wa India Mhe. Vellamvelly Muraleedharan na ujumbe...
✅🇺🇸 Baba yangu hakuwa na budi kuwa mtumishi wa daraja la pili kwa mmoja wa madhalimu wengi wa nchi za Kiislamu wanaotumia wahamiaji kutoka India, kama familia yangu, kuwa mtumwa muhimu. Mnamo...
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.
Pia Ndugu yangu na Kaka yangu Robert Heriel Mtibeli ameshauri...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wachezaji wa Karume Boys katika hafla ya chakula cha mchana na kuwapongeza kwa kuchukua kombe la CECAFA...
Baada ya kumaliza kuangalia UFC 244 jana usiku, Masvidal vs Diaz for the BMF belt, nikahamia DAZN kuangalia Canelo Alvarez vs Sergei Kovalev.
Hakika jana Jumamosi ya jana ilikuwa siku bomba sana...
Ndugu zangu habari.
Naleta kwenu mada hii kufuatia takwimu mbalimbali zinazoonyesha kumekuwa na ongezeko kubwa Sana la watu Kanda ya ziwa hususani Mikoa ya Tabora, Mwanza, Geita, Shinyanga na...
Afya, ustawi na kushamiri kwa Demokrasia, Haki, Usawa na Maendeleo yoyote duniani mathalani kiuchumi, kijamii au kisiasa, huchochewa sana kwa namna moja ama nyingine, na uwepo na msukumo wa...
Jana siku ya Jumatatu tarehe 20/11/2023 kilikuwepo kipindi cha ajenda kuanzia around saa nne usiku, kikiongozwa na mwanahabari ALLOYS NYANDA.
Mwalikwa katika kipindi hicho alikuwa kijana mmoja...
Nimekuta mijadala huko X watu wakimjadili Sabaya kuwa naye anapaswa kupewa kazi ili kuinusuru CCM kama mwenzake Makonda ilivyo tokea.
Ila katika pitapita yangu mitandaoni nimegundua kumbe Sabaya...
Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati, Ngabolo na Olboloti Wilayani Kiteto Mkoani Manyara waliodai kuporwa maeneo yao ya mashamba wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati...
Naona sasa ishakuwa tabia kwa kila wakili anayejaribu kuikosoa serikali ya CCM anakutqna na rungu la kuvuliwa uwakili.
Fatma Karume alivuliwa uwakili kimizengwe, Mawakili Jebra Kambore na Edson...
Profesa Kitila Alexander Mkumbo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Waziri mwenye dhamana ya kusimamia utendaji wa kazi za Tume ya Mipango
Chama cha Wanataaluma Wakristo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kigoma imewaachia huru kwa masharti ya dhamana washtakiwa wa tano kati ya 11 waliokuwa wameshtakiwa kwa makosa 11 likiwemo la utakatishaji fedha Sh463.5 milioni...
Kwa wasomaji wapya, leo ni muendelezo wa sehemu ya pili ya somo la Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza ilitoka wiki iliyopita, Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya...
Walimuona Mwenyekiti wetu mstaarabu sana na mwenye upendo kwa watu wote, wapuuzi wale wakaanza kumkejeli kumdhihaki kumtweza.
yarabi Mwenyekiti hakulelewa kwenye malezi ya aina hiyo yeye akawa...
Nampongeza Chakwela kwa kufuta safari zote za nje hadi March 2024, wote walioko nje matembezi kurudi nyumbani, kupunguza matumizi ya Serikali pamoja na ma-allowance za wabunge na mawaziri ili...