Uteuzi wa Makonda ni matusi kwa vigogo hawa

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
1. Waziri Nape alitolewa bastola hadharani kama jambazi mchana kweupe kwa amri ya Makonda. Yawezekana ni kweli Nape kamsamehe Makonda lkn sisi watanzania kamwe hatujasahau wala kusamehe.

2. Ridhiwan Kikwete, naibu waziri utumishi, alitajwa na RC Makonda kuwa anauza ngada. Mama Salma Kikwete na mstaafu Kikwete watakuwa walifadhaika sana kwa hili

3. Chongolo aliwahi kuonja joto la nyodo, ulevi wa madaraka na dharau za Makonda. Tazama video iliyopo hapa chini.

Uteuzi wake ni "blessing in disguise". Ni mwanzo wa mwisho wa aliyemuweka hapo. Sioni Kinana na Chongolo wakiwa na amani kwa uteuzi huu. Akina Nape hawana la kufanya na atawavuruga vilivyo.
Kabla ya uchaguzi Chongolo atakuwa ametemwa.
 
Screenshot_2023-10-15-12-38-57-1.png
 
1. Waziri Nape alitolewa bastola hadharani kama jambazi mchana kweupe kwa amri ya Makonda. Yawezekana ni kweli Nape kamsamehe Makonda lkn sisi watanzania kamwe haujasahau wala kusamehe.

2. Ridhiwan Kikwete, naibu waziri utumishi, alitajwa na RC Makonda kuwa anauza ngada. Mama Salma Kikwete na mstaafu Kikwete watakuwa walifadhaika sana kwa hili

3. Chongolo aliwahi kuonja joto la nyodo, ulevi wa madaraka na dharau za Makonda. Tazama video iliyopo hapa chini.

Hao wote ni mafisi kwenye mzoga(ulaji) wanasahau tofauti zao
FB_IMG_1644236054901.jpg
FB_IMG_1644236040854.jpg
 
Leoo mpaka utataga mayai maana siyo kwa kuhangaika huko. Makonda kashafikaa na kutua kwa kishindoo ndani ya CCM .Kama umeumia hama haraka nchini kabla hujafa kwa presha maana unahangaika kila muda kufungua maandiko yasiyo na kichwa wala miguu.leo utalala na viatu huku ukiweweseka kama mgonjwa. Jipeleke mwenyewe hospitalini kabla hali yako haijawa mbaya.
 
1. Waziri Nape alitolewa bastola hadharani kama jambazi mchana kweupe kwa amri ya Makonda. Yawezekana ni kweli Nape kamsamehe Makonda lkn sisi watanzania kamwe haujasahau wala kusamehe.

2. Ridhiwan Kikwete, naibu waziri utumishi, alitajwa na RC Makonda kuwa anauza ngada. Mama Salma Kikwete na mstaafu Kikwete watakuwa walifadhaika sana kwa hili

3. Chongolo aliwahi kuonja joto la nyodo, ulevi wa madaraka na dharau za Makonda. Tazama video iliyopo hapa chini.

Mkuu sijajua Jinsia yako. Lkn kwa tabia hii ya kumchukia Mwanaume/Makonda kiasi hiki una shida pahala. Au tuseme una Roho ya UCHAWI ulichokosa ni Vifaa vya kumdhulu huyu mwamba. Yaaani huu Uteuzi umekuwasha washa sio mchezo yaani leo una Nyuzi zaidi ya 5 unaongelea Makonda jinsi asivyofaa. Take it easy Mkuu mambo mengine hayahitaji usiriaz wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom