Yuko wapi bi Mwantumu Mahiza!?

Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.

Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
Huyu alikua mwalimu wa shule ya msingi na bi Salma, ni miongoni mwa waliobebwa na bi Salma enzi za milki yao...

Milki ilipokwisha akapotea na kuja kuibukia skauti... ni mbilikimo kama Ndugai.
 
Amezeeka now!
Currently alikua Scount Mkuu kitu kama hicho.
 
Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.

Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
Kama alikuwa hapatani na Samia, hutamsikia kamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.

Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
Hata mama yake riz1 nae kapotea kwenye gemu, Captain mstaafu.
 
Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.

Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
Kama akina Batilda Burian wamerudi hata huyu atarudi. Kuna waliokalia siti za watu na wanajijua (refer Job speech)
 
Huyu alikua mwalimu wa shule ya msingi na bi Salma, ni miongoni mwa waliobebwa na bi Salma enzi za milki yao...

Milki ilipokwisha akapotea na kuja kuibukia skauti... ni mbilikimo kama Ndugai.
Sio kwel
 
Nilimuona pale Dodoma miezi kadhaa iliyopita kwenye benki ya NMB tawi la Bunge (Kwa Waheshimiwa)!

Ni mama wa kawaida sana na asiye na makuu! Sijui ni kwa sababu hana cheo kikubwa nchini kwa sasa! Maana alitusalimia wateja wachache alio tukuta pale benki kwa unyenyekevu mkubwa kiasi cha mimi mkulima wa ngogwe kutoka Lushoto, kushikwa na mshangao!
 
Osie

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.

Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
Na Mwantumu Malale nae sijui yuko wapi?, hawa walitamba sana enzi hizo!
 
Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.

Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
Yupo kwao handeni,pia ni mkuu wa maskauti

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.

Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
Yupo msikilize hapa, nilikuwa naye mahali...

P
 
Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.

Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
Atarudi n.a. sio huyo tu ni wengi chama kimerudi
 
Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.

Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
Alikua mkuu wa mkoa wa pwani. Ndio kaharibu mji wa Kibaha. Daladala zinalazimishwa kupitia Loliondo kusiko kua na abiria Wala mvuto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom