Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu...
26 Reactions
112 Replies
9K Views
Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Salaam, shalom. Baada ya kumsikiliza Kwa makini Mzee WARIOBA akihojiwa katika kipindi Cha Dakika 45 kituo Cha ITV, Kuna mambo nimeyatambua Mzee anajaribu Kutoa angalizo na umuhimu wa Serikali...
10 Reactions
128 Replies
5K Views
TAARIFA Tumepokea taarifa za Kutaka Kumtorosha Pauline Gekul kwenda Nairobi,nchini Kenya kupitia mpaka wa NAMANGA kwa kutumia Landcruiser Hardtop nyeupe yanye namba za DFP 76551 na Vioo vyeusi...
18 Reactions
27 Replies
4K Views
Shule ya Arusha primary ni moja kati ya shule kongwe sana nchini Tanzania zinazofundisha kwa lugha ya kiingereza. Ilianza rasmi mwaka 1932. Shule hii ambayo kwa sasa ipo chini ya Jiji , miezi ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hali ndio kama mnavyoiona Aliyekuwa mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali kwa tiketi ya Chadema, ndugu Liberatus ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram kuhusu wanachoendelea kukifanya huko katika...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Muda huu aliyekuwa Waziri Mkuu Jaji Warioba anafanya mahojiano katika kipindi Cha dk 45 ITV na mapendekezo yake ni kuwa katiba mpya ipatikane kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. My take; kama...
15 Reactions
41 Replies
5K Views
Kwema Wakuu! Nimejikuta nacheka Sana nilipokumbuka habari za mwaka Jana. Yaani ilikuwa vituko na aibu kubwa. Hivi ni kweli Tundu Lissu hakuweka matangazo kwenye nguzo na barabarani Kama...
42 Reactions
131 Replies
9K Views
Kama IGP atashindwa kuchukua hatua kwa RPC Manyara ambaye alishuhudia kijana akiteswa na kufanyiwa ukatili wa hali ya juu mbele ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Gekul basi...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, (CCM) Reuben Kwagilwa amewatembelea na kutoa misaada kwa wananchi waliathirika na mvua wilayani Handeni, huku akitoa tahadhari kwao. Akizungumza na baadhi ya...
0 Reactions
3 Replies
499 Views
Tunaposema Sheria ni msumeno ni lazima ionekane !!. Siwezi kufurahia Hatua ya Rais Samia , hatua inayofata ,SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE. Hii tabia wanao hawa watu wanaojiita Viongozi, ni vile...
6 Reactions
31 Replies
6K Views
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia...
40 Reactions
159 Replies
13K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Komredi Makonda amekutana na Mkuu wa Majeshi mstaafu General Mabeyo jijini DSM na kuibadilishana mawazo. ------ Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha...
10 Reactions
24 Replies
4K Views
Hii hapa ni kata ya Ikoma Jimbo la Rorya Mkoani Mara. Moja ya Kata ambazo zimeteuliwa na kinachoitwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania katika kinachoitwa maboresho ya Daftari la Kudumu la...
3 Reactions
12 Replies
931 Views
Ngoja leo niawachane wakurugenzi na manyapara wote waliomaliza chuo kikuu cha DSM 1997/2002 na wakapata kazi serikalini. Wengi kwa sasa ndio wakurugenzi, makamishna, wakuu wa polisi mikoa nk...
3 Reactions
7 Replies
982 Views
Botto Biteko mesema TANESCO ina wadaiwa sugu ambao wanadaiwa takribani Bilioni 224 za matumizi ya umeme na hawajalipa. Naunga mkono hoja, ila hapo utakuta 99% ni Taasisi za Serikali kama...
0 Reactions
2 Replies
665 Views
Ukikaa kwenye gambe lazima uwe na akili nyingi kama siyo maarifa. Walevi sometimes hatuna siri na tukipayuka tunaaminigi watu wote wameziba masikio. Nimesikia mjadala kwamba serikali...
0 Reactions
0 Replies
532 Views
Sote tunajua kwamba matokeo ya darasa la Saba mwaka 2023 yametoka. Matokeo haya yanajumuisha ya wanafunzi waliosoma shule za serikali na wale wa sekta binafsi. Ukiyaangalia matokeo haya...
15 Reactions
109 Replies
8K Views
UTAASISI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA KUISIMAMIA SERIKALI KATIKA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI Nyandi Raphael Jr. K/UVCCM [M]SHINYANGA 0718695061 November 26,2023. CHAMA CHA MAPINDUZI ni...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…