Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

sheiza

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
7,634
Reaction score
11,693
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.

Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.

Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.

Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Unasema hakuna viongozi wenye tuhuma kama hii awamu, kwasababu vyombo vya habari vipo huru kueleza lolote.

Kilicho muondoa huyo best yako ni matendo yake, hivi wewe au mmeo/mkeo au mtoto wako asokomezewe chupa ungekuja hapa na hizi ngojera zako, shame on you!
 
Wewe muache aendelee kutetea ujinga na ushetani .siku yakimkuta mwanaye ndiyo akili zitamkaa sawa.tutaona kama atapata hata muda wa kuja kuandika ujinga wake hapa jukwaani.
 
Huyo demu kwasasa she is suffering the after-effects ya upumbavu alioufanya kwa kuendeshwa na hisia za kipumbavu kama ilivyo kawaida. Amevuna anachostahili but still not enough, hata bungeni hapaswi kuonekana she deserves too much suffering.
 
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.

Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.

Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.

Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Naona gekul unajifariji tu hapa. Nonsense
 
Huyo demu kwasasa she is suffering the after-effects ya upumbavu alioufanya kwa kuendeshwa na hisia za kipumbavu kama ilivyo kawaida. Amevuna anachostahili but still not enough, hata bungeni hapaswi kuonekana she deserves too much suffering.
She deserve punishment, if.....!
Kibaya ni mwanamama, mzazi, chupa iingizwe kule...., I can't explain, na alikuwa kwenye sheria.
 
Una busara sana. Cheo si kitu ikiwa huna wenye nguvu wamekuzunguka. Amekosea sana Pauline ila tukihesabu makosa,kuna waliostahili kuwa kuzimu si jela tu na bado wanatamba si kidogo.Anyway,labda ndio mwanzo,kazi iendelee.
Kakosea kabisa na ni mpuuz utamtishiaje mtu wa kijijin bastola kipuuz ivyo ye si mbunge aje Dar alafu pale kariakoo amtolee mtu bastola kama hawajamalizana nae wahuni , ni kule ni kuonea wanyonge sio vizuri..unamtbukiza mtu chupa kwenye nyoro ili iweje ?
 
Back
Top Bottom