RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Kama IGP atashindwa kuchukua hatua kwa RPC Manyara ambaye alishuhudia kijana akiteswa na kufanyiwa ukatili wa hali ya juu mbele ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Gekul basi tutaamini kwamba jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa ajili ya kulinda viongozi wa kisiasa katika nafasi zao.
Maoni yangu kwa IGP wa jeshi la polisi Camilius Wambura chukua hatua kwa viongozi wako wa chini wanaoshindwa kutekekeza wajibu wao kwa kuogopa status za wahalifu kama huyo aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria.
Aliyekuteua anakuangalia hatua zipi utachukua kwa RPC huyo yeye hatua za awali tayari amemfuta kazi Naibu Waziri kazi imebaki kwako kwa mhalifu huyo na kwa RPC wako ambaye ameshindwa kutimiza wajibu wake hadi media zilipoibua uovu huo.