Makonda afanya mazungumzo na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Generali Venance Mabeyo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,008
1701002099513.png

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Komredi Makonda amekutana na Mkuu wa Majeshi mstaafu General Mabeyo jijini DSM na kuibadilishana mawazo.

------

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Paul Makonda amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Generali Venance Mabeyo Jijini Dar es salaam.

Huu ni mfufulizo wa Paul Makonda kukutana na viongozi wa kada mbalimbali toka alipoteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kukitumikia chama hicho hivi karibuni.

Source: Clouds TV
 
Masahihisho : hakukuwa na mazungumzo yoyote , makonda aligonga geti kumsalimia tu Mabeyo , Mabeyo na Makonda watazungumza nini sasa ? acheni uongo .

Kumuamkia Mzee Shikamoo ndio kuzungumza naye huko ?
 
Uongozi wa CCM sasa umekamilika
 
Ijumaa sitashangaa nikimuona kwa mufti. Mtu mjinga huyu
 
Masahihisho : hakukuwa na mazungumzo yoyote , makonda aligonga geti kumsalimia tu Mabeyo , Mabeyo na Makonda watazungumza nini sasa ? acheni uongo .

Kumuamkia Mzee Shikamoo ndio kuzungumza naye huko ?
Mkuu, ulikuwepo kwenye hayo mazungumzo? Au na wewe ni mmoja wa hao waongo unataka kutuingiza chaka kwa ujumbe wa kusadikika?!
 
Kuna machawa humu Jf walijua ccm ni chama cha kikabila

Samia alipowakaribisha waliingia kikabila kama kawaida yao

Samia ameteua mtu kutoka kabila wanalolichukia wameona kama amewasaliti ...

Badilikeni.
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Komredi Makonda amekutana na Mkuu wa Majeshi mstaafu General Mabeyo jijini DSM na kuibadilishana mawazo.

------

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Paul Makonda amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Generali Venance Mabeyo Jijini Dar es salaam.

Huu ni mfufulizo wa Paul Makonda kukutana na viongozi wa kada mbalimbali toka alipoteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kukitumikia chama hicho hivi karibuni.

Source: Clouds TV
Huu nao ni MKAKATI?
Juhudi za kumbakisha Samia madarakani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom