Mara: CHADEMA yakagua Mfumo mpya wa Tume ya Uchaguzi wa kuandikisha wapiga kura

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,733
218,320
Hii hapa ni kata ya Ikoma Jimbo la Rorya Mkoani Mara. Moja ya Kata ambazo zimeteuliwa na kinachoitwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania katika kinachoitwa maboresho ya Daftari la Kudumu la wapiga kura.

CHADEMA inafuatilia jambo hili ili kutengeneza ushahidi na kujiridhisha na kila kinachotendwa kuona kama kuna lolote jipya au la.

Screenshot_2023-11-25-23-24-14-1.png
Screenshot_2023-11-25-23-24-25-1.png
Screenshot_2023-11-25-23-23-16-1.png
Screenshot_2023-11-25-23-24-36-1.png
 
Kwa nini serikali huingiza taifa kwenye gharama mara mbili kwa kitu kinachofanana? (kitambulisho cha mpiga kura na kile cha taifa). Raia ndiye huyo huyo mpiga kura au kuna wageni wanaovuka mpaka kupiga kura?
 
Swali lako ni zuri
 
Kwa hiyo mtashiri uchaguzi bila hata tume huru ya uchaguzi?
 
Wakuu hill zoezi ni la nchi nzima au?
Limeanza lini na linaisha lini maana huku Manzese hakuna hizo pilika
 
Back
Top Bottom