Ni miaka sasa bado tunasumbuliwa na ukosefu wa umeme wa uhakika. Tatizo hili likekuwa sugu. Mamlaka husika imekaa kimya utadhani swala hili haliwahusu.
Kuna fahari gani kwa wafanyakazi wa...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE AITAKA DMI KUFUNGUA MATAWI YA CHUO MIKOANI
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameutaka uongozi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kuhakikisha wanafungua matawi...
Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.
Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?
Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje...
Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena.
Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la...
Antony ana vipawa na vipaji ambavyo havijatumiwa kwa ukubwa wake, kila fulsa anazopewa anatosha kila mahali anapopangiwa anamudu mpaka chenji inabaki.
Watu wa jinsi yake huwa wanapatikana...
Pamoja na kupiga kelele kwa muda mrefu kuruhusiwa mikutano ya kisiasa nchini, hatimae pumzi ya fedha imekata upinzani, hakuna hamu tena kufanya mikutano ya kisiasa. Pesa hakuna kabisaa.
Hata...
Waziri wa Sanaa na Michezo , Mh Mchengerwa wakati akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Wizara yake bungeni, pamoja na mambo mengine , amesema kwamba , SERIKALI IMETENGA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 10...
Je, ni mazoea na uzembe unaofanyika sector ya afya?
Kuna kitu kimeachwa? Ambacho kilisaidia huko nyuma kuokoa maisha ya mtoto na wajawazito?
Je, Ni mabadiriko ya hali ya hewa ambayo inahitaji...
Katika mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango.
Niliwaambia mbona Kuna vijana...
Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Bado haijahamika kama hii ni ALBAKI baada ya ile hasara ya Bil 170 kufidiwa .
Kama unabisha shauri yako .
---
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema baada ya Kampuni ya Ndege ya Air...
Burundi waanzisha Mwenge wao, Waomba mafuta ya Mwenge wa Tanzania. Je, Watapata amani?
Nimeshuhudia Mwenge wa Burundi ukikagua shule ya Buraza Gitega ilojengwa 1974 hadi leo bati...
Wakati baadhi ya watanzania wakisubiri taarifa kutoka kwenye kile kikao cha wafanya mazingaombwe maarufu wa Tanzania, leo Gazeti la Mwananchi limechapisha mahojiano kati yake na Mdhamini wa...
Hii ndoto imenifikirisha sana yaani kumbe CCM haitatoka madarakani ! ukweli usemwe wanaosema itatoka itaanzaje?
CCM ,wanalijua hilo kuwa niwa milele ,ndio maana walipo anza mchakato wa Katiba...
Kuna siku wanachama wa ccm watakapo jitambua kuwa:-
1. Watoto wao wamesoma wanazurura hakuna ajira.
2. Huduma za jijamii hazipo kulingana na mahitaji yao
3. Raslimali zipo ila zinamilikiwa na...
Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana.
Asema lengo la Serikali ni...
..kitu cha habari hapo juu chahusika.
..pamoja na vyanzo hivyo vya umeme nilivyovieleza hapo juu tuna mito mikubwa yenye maporomoko ya maji, pia kuna maeneo yenye upepo wenye nguvu za kuzalisha...
Nchi ya kusadikika ni Tanzania kwa vituko hivi hatujamaliza hili linaibuka hili mipango kumi hakuna hata moja linaloisha tunaibuka na lingine.
Huyu JPM si alikuwa kwenye baraza la mawaziri la JK...
Habarini ndugu zangu wote, Mimi ni kijana mdogo tu ila huwa napenda kudadisi maana ni mwanasayansi.
Jana nimekaa usiku wote natafakari, juu ya habari iliyo zungumzwa na bunge la Ujerumani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.