lord atkin
Senior Member
- Sep 30, 2018
- 197
- 683
Wakili Msomi Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi ameitwa kwenye kamati ya kinidhamu kujibu tuhuma za kinidhamu dhidi yake alizotuhumiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Wafuatao ni wajumbe wa kamati ya kinidhamu ya mawakili watakaosikiliza kesi yake.
1. JAJI KALIKAMAJENGA (Mwenyekiti)
Jaji na mteule wa Rais
2. DR FELESHI (Mjumbe)
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mteule wa Rais na ndiye mlalamikaji
3. DR. LONGOPA (Mjumbe)
Kaimu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mteule wa Rais.
4. MWAKITALU (Mjumbe)
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali, Mteule wa Rais.
5. ADV VICTORIA MANDARI (Mjumbe)
Mwakilishi kutoka TLS
6. ADV FARAJI NGUKAH (Katibu)
Wakili Mwandamizi wa Serikali (Senior State Attorney)
Nimtakie kila la Kheri Wakili Mwabukusi katika safari yake ya kutetea leseni ya Uwakili.