Jenerali Ulimwengu amepitwa na wakati; Huu sio muda wa harakati za kisiasa

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
4,692
10,203
Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo!

Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za siasa tofauti kabisa.

Zama za kupiga blah blah na kudoea vijisenti vya maokoto. Hakuna matokeo yoyote zaidi ya soga tu.

Kama midahalo inaleta maendeleo, basi jenerali na wenzake wa enzi za mkoloni tungeona matunda yao.

Matunda waliyotuachia ni TOZO na Maji ya Vidimbwi. Midahalo hiyo.

Vijana wa sasa wako bize na mambo mengi. Kwanza hata wakiongea hawasilikilizwi. Wako bize wanasaka maokoto.

Huyu Jenerali na stori zake za kale za Nyerere atupishe. Muda wake umeshamtupa mkono anatamani kurudi nyuma aendeleze ubabaishaji wa midahalo ya TANU.

Na mwisho kabisa Mama anaupiga mwingi! Nani kama mama!

Midahalo ya kazi gani? Kila kitu kinaenda ipasavyo! Tukae tuanze kufoka foka na kupiga porojo tunapoteza muda.

Enzi za TANU zimeshapita. Hii ni Tanzania mpya, Tanzania ya Mama.

Kwako Jenerali na wafuasi wenzio wa mkoloni.
 
Zama za kupiga blah blah na kuokota vijisenti vya maokoto. Hakuna matokeo yoyote zaidi ya soga tu.

Huyu Jenerali na stori zake za kale za Nyerere atupishe. Muda wake umeshamtupa mkono anatamani kurudi nyuma kuendeleza ubabaishaji wa midahalo ya TANU.

Na mwisho kabisa Mama anaupiga mwingi! Nani kama mama!

Midahalo ya kazi gani? Kili kitu kinaenda ipasavyo! Tukae tuanze kufoka foka na kupiga porojo tunapoteza muda.

Enzi za TANU zimeshapita. Hii ni Tanzania mpya, Tanzania ya Mama.

Kwako Jenerali.

Akili hii haina tofauti na Gigy Money
 
Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo!

Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za siasa tofauti kabisa.

Zama za kupiga blah blah na kuokota vijisenti vya maokoto. Hakuna matokeo yoyote zaidi ya soga tu.

Kama midahalo inaleta maendeleo, basi jenerali na wenzake wa enzi za mkoloni tungeona matunda yao.

Matunda waliyotuachia ni TOZO na Maji ya Vidimbwi. Midahalo hiyo.

Vijana wa sasa wako bize na mambo mengi. Kwanza hata wakiongea hawasilikilizwi. Wako bize wanasaka maokoto.

Huyu Jenerali na stori zake za kale za Nyerere atupishe. Muda wake umeshamtupa mkono anatamani kurudi nyuma aendeleze ubabaishaji wa midahalo ya TANU.

Na mwisho kabisa Mama anaupiga mwingi! Nani kama mama!

Midahalo ya kazi gani? Kili kitu kinaenda ipasavyo! Tukae tuanze kufoka foka na kupiga porojo tunapoteza muda.

Enzi za TANU zimeshapita. Hii ni Tanzania mpya, Tanzania ya Mama.

Kwako Jenerali na wafuasi wenzio wa mkoloni.
Mbona unaandika kama umelewa mipombe mibovu.
 
Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo!

Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za siasa tofauti kabisa.

Zama za kupiga blah blah na kudoea vijisenti vya maokoto. Hakuna matokeo yoyote zaidi ya soga tu.

Kama midahalo inaleta maendeleo, basi jenerali na wenzake wa enzi za mkoloni tungeona matunda yao.

Matunda waliyotuachia ni TOZO na Maji ya Vidimbwi. Midahalo hiyo.

Vijana wa sasa wako bize na mambo mengi. Kwanza hata wakiongea hawasilikilizwi. Wako bize wanasaka maokoto.

Huyu Jenerali na stori zake za kale za Nyerere atupishe. Muda wake umeshamtupa mkono anatamani kurudi nyuma aendeleze ubabaishaji wa midahalo ya TANU.

Na mwisho kabisa Mama anaupiga mwingi! Nani kama mama!

Midahalo ya kazi gani? Kila kitu kinaenda ipasavyo! Tukae tuanze kufoka foka na kupiga porojo tunapoteza muda.

Enzi za TANU zimeshapita. Hii ni Tanzania mpya, Tanzania ya Mama.

Kwako Jenerali na wafuasi wenzio wa mkoloni.
Wanawake wengine wenye makomwe huwa wanakuwa smart kweli yaani
 
Mama anakubalika 💯
 
Eti muda umemtupa mkono, we ambae haujakutupa mkono unachangia nini kwa jamiii asee. Unahisi Jenerali alivyokuwa na umri wako alikuwa ndezi hivyo?
 
IMG_2941.jpg
 
Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo!

Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za siasa tofauti kabisa.

Zama za kupiga blah blah na kudoea vijisenti vya maokoto. Hakuna matokeo yoyote zaidi ya soga tu.

Kama midahalo inaleta maendeleo, basi jenerali na wenzake wa enzi za mkoloni tungeona matunda yao.

Matunda waliyotuachia ni TOZO na Maji ya Vidimbwi. Midahalo hiyo.

Vijana wa sasa wako bize na mambo mengi. Kwanza hata wakiongea hawasilikilizwi. Wako bize wanasaka maokoto.

Huyu Jenerali na stori zake za kale za Nyerere atupishe. Muda wake umeshamtupa mkono anatamani kurudi nyuma aendeleze ubabaishaji wa midahalo ya TANU.

Na mwisho kabisa Mama anaupiga mwingi! Nani kama mama!

Midahalo ya kazi gani? Kila kitu kinaenda ipasavyo! Tukae tuanze kufoka foka na kupiga porojo tunapoteza muda.

Enzi za TANU zimeshapita. Hii ni Tanzania mpya, Tanzania ya Mama.

Kwako Jenerali na wafuasi wenzio wa mkoloni.
Jibu hoja kwa kuweka mambo halisi yaliyofanywa na chuo lwenye kipindi cha miaka mitatu iliyopita ukiishia 2022.
 
Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo!

Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za siasa tofauti kabisa.

Zama za kupiga blah blah na kudoea vijisenti vya maokoto. Hakuna matokeo yoyote zaidi ya soga tu.

Kama midahalo inaleta maendeleo, basi jenerali na wenzake wa enzi za mkoloni tungeona matunda yao.

Matunda waliyotuachia ni TOZO na Maji ya Vidimbwi. Midahalo hiyo.

Vijana wa sasa wako bize na mambo mengi. Kwanza hata wakiongea hawasilikilizwi. Wako bize wanasaka maokoto.

Huyu Jenerali na stori zake za kale za Nyerere atupishe. Muda wake umeshamtupa mkono anatamani kurudi nyuma aendeleze ubabaishaji wa midahalo ya TANU.

Na mwisho kabisa Mama anaupiga mwingi! Nani kama mama!

Midahalo ya kazi gani? Kila kitu kinaenda ipasavyo! Tukae tuanze kufoka foka na kupiga porojo tunapoteza muda.

Enzi za TANU zimeshapita. Hii ni Tanzania mpya, Tanzania ya Mama.

Kwako Jenerali na wafuasi wenzio wa mkoloni.
so una uhakika wa kuhudumia familia yako na wazazi wako?hongera ndugu yangu kwenu kuwa njema aiseeeee
 
Back
Top Bottom