Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 879
- 4,123
Mfumo wetu wa siasa unakataza indirectly Kiongoz wa kisiasa au chama tawala kuhojiwa anapotenda jinai . Vinginevyo lazima wapokee maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa wasipofanya hivyo .
Incase akajitokeza askari akataka kumhoji mwanasiasa basi mfumo unaweza kuelekeza ahojiwe yeye au afukuzwe kazi
Hali ni tofauti na mazingira ya nchi nyingi zinazoendelea au zilizoendelea. Je, idhini ya kuchunguza wanasiasa wa chama tawala isipotolewa mwananchi anaweza kufungua kesi ya jinai mwenyewe mahakamani?