Uchaguzi 2020 Wilhelmon Mayo, Mtia nia wa ubunge jimbo la Babati Mjini, Manyara

Iwaay

Member
May 21, 2016
36
55
Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na anayeshirikiana na wananchi katika maisha ya kila siku. Mtu kama huyo ndio anayehitajika na anayetafutwa na wananchi wa babati mjini.
PhotoCollage_20200703_155217045.jpg
 
Tunahitaji watu wenye rekodi nzuri za kiutendaji sio tu kuwa mwanasiasa mzuri tunahitaji watendaji zaidi, nchi yetu imeingia kwenye uchumi wa kati tuache kuishi na kufanya siasa kwa mazoea. Unawezaje kutuletea post ya kumpromote mtu bila kutupa record zake na tabia zake tangu akiwa shuleni mpaka hapo alipo sasa.

Babat mjini na vijijini tumekuwa na wabunge wengi waliopita , lakini wameshindwa kutatua kero za wananchi, mathaliani migogoro ya ardhi kati ya wawekezaji na wanachi. Kuna mashamba yana lease za miaka mingi, na mengine yamekuwa mapori, wananchi wanaongezeka ardhi haiongezeki wananchi hawana ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo na malisho ya mifugo badala yake wananchi wamegeuzwa kuwa vibarua wa kupalilia miwa na mahindi ya wawekezaji kwa ujira mdogo huku hata wale wanaojitahidi kulima ardhi ndogo iliopo wakikosa maji ya kutosha sababu kiasi kikubwa hutumika kwenye irrigation scheme za wawekezaji.

Ni vyema ungetueleza huyu mgombea amejipangaje kuzitatua kero kama hizi.
 
Nao wapelekwe uwanja wa taifa wafanye usaili manake wamekua wengi, sasa hv wembamba kama sisi, after five years wanarudi na vitambi,
Wanakuwa na utajiri usioelezeka,ndiyo maana hadi wanalogana ili waingie mjengoni.Kazi ya uwakilishi wa Wananchi wanyonge wanajitajirisha kwa kujipatia fursa nono kuliko watu wao?
 
Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na anayeshirikiana na wananchi katika maisha ya kila siku. Mtu kama huyo ndio anayehitajika na anayetafutwa na wananchi wa babati mjini.
View attachment 1497699
Umepewa uratibu elimu bado hujakuza elimu kwa majukumu uliyopewa Sasa unataka ubunge.punguza tamaa timiza uratibu elimu kata kwanza.
 
Namkumbuka Sana
Wa Kwanza Tukamtia Cross
Wa Pili Tukamtia Cross
Wa Tatu Tukamtia Cross
Wa Nne Tukampa
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Mtia Nia jimbo la Babati mjini mkoani Manyara, Wilhelmon Mayo.
 
Attachments

  • Screenshot_20200706-125552.png
    Screenshot_20200706-125552.png
    174.7 KB · Views: 2
Tunahitaji watu wenye rekodi nzuri za kiutendaji sio tu kuwa mwanasiasa mzuri tunahitaji watendaji zaidi, nchi yetu imeingia kwenye uchumi wa kati tuache kuishi na kufanya siasa kwa mazoea. Unawezaje kutuletea post ya kumpromote mtu bila kutupa record zake na tabia zake tangu akiwa shuleni mpaka hapo alipo sasa.

Babat mjini na vijijini tumekuwa na wabunge wengi waliopita , lakini wameshindwa kutatua kero za wananchi, mathaliani migogoro ya ardhi kati ya wawekezaji na wanachi. Kuna mashamba yana lease za miaka mingi, na mengine yamekuwa mapori, wananchi wanaongezeka ardhi haiongezeki wananchi hawana ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo na malisho ya mifugo badala yake wananchi wamegeuzwa kuwa vibarua wa kupalilia miwa na mahindi ya wawekezaji kwa ujira mdogo huku hata wale wanaojitahidi kulima ardhi ndogo iliopo wakikosa maji ya kutosha sababu kiasi kikubwa hutumika kwenye irrigation scheme za wawekezaji.

Ni vyema ungetueleza huyu mgombea amejipangaje kuzitatua kero kama hizi.
Babati imegeuzwa shamba la bibi
 
Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na anayeshirikiana na wananchi katika maisha ya kila siku. Mtu kama huyo ndio anayehitajika na anayetafutwa na wananchi wa babati mjini.
View attachment 1497699
Tafuta mtaalamu wa matangazo mkuu, tangazo lako halijakaa vizuri. Hata hivyo nakutakia kila la kheri
 
Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na anayeshirikiana na wananchi katika maisha ya kila siku. Mtu kama huyo ndio anayehitajika na anayetafutwa na wananchi wa babati mjini.
View attachment 1497699
Mkuuu wewe amekuwa mdhamini na watu wengi sana hapo bbt na hao watu wako hawalipi marejeshoo leo unataka ubunge hifai kitu wewe
We pambana Uafisa Elimu.
 
Halafu aliyekuandalia hili tangazo bomu kweli. Yaani inabidi kupindisha shingo au kurotate simu ndiyo mtu asome hayo maneno ya mlalo. Rekebisha bana. Andaa bandiko zuri linalosomeka kirahisi
CCM hakuna graphic designers! Njoo CHADEMA ujionee, utapendaa!!
 
Back
Top Bottom