Tamasha Kubwa la Utalii Chato, Wasanii Wakubwa na Mawaziri karibia Wote watakuwepo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,110
Tamasha Kubwa la Utalii linafunguliwa leo Chato Burigi wilayani Chato mkoa wa Geita

Mawaziri Kairuki, Bashe, Kijaj na Naibu Waziri mkuu ni miongoni mwa Mawaziri wengi watakuwepo

Wasanii Wakubwa Wote watakuwepo

Source: Clouds TV

RIP Shujaa Magufuli
 
Tuliwaambiaga njooni kwa Ground muone nguvu ya Mwendazake ilivyo ili msije kujidanganya mkataka kuivunja regasi yake maana watu from the Ground hawatawaelewa ! πŸ˜…πŸ™

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni !!
Sasa inaonekana watu wanataka kutembelea nyota ya Mwamba Angalau mpaka Uchaguzi ujao upite πŸ˜…πŸ™ !!

Alisemaga mtanikumbuka kwa yale mazuri sio kwa yale mabaya !!
Na ndivyo wafanyavyo huku kwa Ground !!
Wanamkumbuka kwa yale mazuri sio kwa yale mabaya !!πŸ™
 
Mtanikumbuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
 
Tamasha Kubwa la Utalii linafunguliwa leo Chato Burigi wilayani Chato mkoa wa Geita

Mawaziri Kairuki, Bashe, Kijaj na Naibu Waziri mkuu ni miongoni mwa Mawaziri wengi watakuwepo

Wasanii Wakubwa Wote watakuwepo

Source: Clouds TV

RIP Shujaa Magufuli
Ameanza kuwatesa kuelekea 2024 na 25

Yulee Waziri wa redio anasemaje
 
Tuliwaambiaga njooni kwa Ground muone nguvu ya Mwendazake ilivyo ili msije kujidanganya mkataka kuivunja regasi yake maana watu from the Ground hawatawaelewa !

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni !!
Sasa inaonekana watu wanataka kutembelea nyota ya Mwamba Angalau mpaka Uchaguzi ujao upite !!

Alisemaga mtanikumbuka kwa yale mazuri sio kwa yale mabaya !!
Na ndivyo wafanyavyo huku kwa Ground !!
Wanamkumbuka kwa yale mazuri sio kwa yale mabaya !!
Acha upumbavu, utamkumbuka wewe na mamako
 
Tamasha Kubwa la Utalii linafunguliwa leo Chato Burigi wilayani Chato mkoa wa Geita

Mawaziri Kairuki, Bashe, Kijaj na Naibu Waziri mkuu ni miongoni mwa Mawaziri wengi watakuwepo

Wasanii Wakubwa Wote watakuwepo

Source: Clouds TV

RIP Shujaa Magufuli
Mnaoijui vizuri Tanzania hebu niambieni Chato kimkakati na utalii vinaedaje?
Lengo ni kutumia fursa hiyo kuongeza wageni au propaganda za fcm.
Rwanda wao wanawekeza ktk PR za kimataifa na ndiko walioko hao watalii au ndio mtaanza kusema ni Kwa ajili ya utalii wa ndani.
Useless.
 
Back
Top Bottom