Makonda apiga Goti kwa Mwadhama Kardinali Pengo

Peter Dafi

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
388
271
Katibu Mwenezi Ndugu Paul Makonda amtembelea Mwadhama Kardinali Pengo Nyumbani kwake.
Lengo ni kumjulia hali na zaidi kuchota Hekima na Busara mbali na hayo!

Kubwa zaidi ni Kujikabidhi Mbele za Viongozi wa Dini ili nao wamuombee na Kumtakia Mema zaidi katika
utendaji kazi wake kwa nafasi hi ya Ukatibu Wenezi wa Chama cha Mapinduzi.



View: https://youtu.be/yiydu8e3Yxo?si=1Qf4V9wqHjsY7Z-i

f23fda04-02e2-4e18-b367-3628633567a7.jpg

f616e90b-097b-4904-9b26-4f7744978263.jpg
f44b5309-4c32-4b3a-a454-b9f2c645d06c.jpg

2a5d2fa3-7cfa-4975-9dbe-6913801b05ba.jpg
 
Back
Top Bottom